Mimi huwa inaniuma sana watz zaid ya milioni 40 tunanunuliwa kirahisi tu ..vijana wanatumika sana kumuweka lowasa ikulu lakin ukiwauliza watu wazima wengi wanakwambia huyu mtu hafai.
Wa nini tumng'ang'anie halafu tukitoka hapo tunaanza kulia ooh maisha magumu . acheni njaa vijana tena...
Jinsi siku zinavyozidi kwenda ndivyo jinsi kasi ya siasa ya mzee huyu wasira inavyozidi kushika kasi mzee huyu sasa amekuwa tishio ndani ya chama na nje ya chama kutokana na kuzungumziwa kwa mapana wahenga walisema mti wenye matunda ndio hupigwa mawe.. ni kweli huyu mzee kwa sasa amekuwa...
Mkongwe huyu katika siasa asiye na kashfa yoyote ni kiongozi bora na mwenye focus kwa taifa...msitegee mh rais na kamati yake kumkata jina huyu kada makini na mkongwe ni matakwa ya chama kupata kiongozi mwenye dhamira ya dhati na mwenye kulifahamu taifa hili kwa sasa..wasira tunakuomba...
Jinsi siku zinavyozidi kwenda ndio jinsi ambavyo vita ya urais inapamba moto, wataalamu wa siasa wanadai kuwa mwenye uwezekano mkubwa wa kupitishwa ni Wasira au Lowasa lakin kitendawili kwa Lowasa ni kuchafuka kwa faili lake kwani hiyo ndio itakayomuondolea sifa ya kugombea hivyo vyanzo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.