Interview Eastern Zone NMB

Interview Eastern Zone NMB

Hivi wameanza kuita? Me pamoja na ninaowafahamu hamna aliyeitwa hadi sasa

wamepiga simu kuwataarifu waliofanikiwa kupass kwenye written. wamesema watatuma sms ili kutoa taarifa kuhusu siku ya oral interview.
 
Mimi nimepigiwa simu kwa ajili ya second interview lakn inabidi nisubirie msg ndio itatumwa kuelekeza ni siku gan kwa ajili ya oral interview.
 
Hebu tuabarisheni mliopigiwa kwa oral interview vipi ilishafanyika?
 
Back
Top Bottom