Gwajima: Siwezi kuwasahau Dr. Slaa, Lowassa

Gwajima: Siwezi kuwasahau Dr. Slaa, Lowassa

Mkuu ninapo sema hakuna msafi ccm ninaimanisha maana kila mtu yupo juu ya mwingine

Chademakwanza ukiwa MSAFI CCM utakuwa upo karibu na kaburi tu.Vinginevyo usijionyeshe..................
 
Gwajima mi naona ni mtu mpuuzi tu...yani baada yakupata uchawi ndo bas tena...
 
Hivi kasema hawezi kuwasahau au hawezi kuwatupa?!!

Halafu kwenye picha upande wa kulia wa picha (middle right) naona kuna sijui waamini au baadhi ya viongozi wasio kuwa na asili ya Afrika, je wanahusika vipi hapo jukwaani?!

gwajima.jpg

Ni waumini tu,kama barozi wa china alivyo hutubia mkutano wa ccm shinyanga
 
anatamba akiwa kanisani kwake tu,maana kuna wasiojielewa wengi hawaoji,mbona akienda polisi anasuga amezidiwa na kutia unyonge,wanasiasa wanaenda wanaenda kwake ili wapate kuungwa mkono na waumin wake maana hawajielewi

Unataka kutwambia kuwa nape hajielewi?
 
anatamba akiwa kanisani kwake tu,maana kuna wasiojielewa wengi hawaoji,mbona akienda polisi anasuga amezidiwa na kutia unyonge,wanasiasa wanaenda wanaenda kwake ili wapate kuungwa mkono na waumin wake maana hawajielewi

Hata watakatifu kina lukuvi na 6 hawajielewi?
 
Hii list yote si ile ile iliyoendaga kupata kikombe loliondo?

Aliwataja viongozi hao kuwa ni Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye, Waziri wa Uchukuzi, Samuel Sitta, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi na Waziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Dk Harrison Mwakyembe.

Viongozi wengine, alisema ni Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nauye, Mbunge wa Kawe (Chadema), Halima Mdee na wabunge wa Viti Maalumu, Dk Mary Mwanjelwa na Vicky Kamata wote wa CCM “Kama ningekuwa na ugomvi na Serikali viongozi hawa wasingekuja katika kanisa langu kwa nyakati tofauti. Hii inaonyesha nilivyo na uhusiano mzuri na Serikali,” alisema.
 
Ndug zangu Waislaam.

Salaam ziwe juu yenu.

Leo sina maneno mengi sana ila kubwa nalotaka kuwajuza ni kwamba katika hili la mahakama ya kadhi litoshe kuwa funzo kwa kutowapa turufu wanasiasa kwa namna yeyote ile.

Pamoja na ubaya wa CCM katika hili lakin amin nawaambia kwamba hawa chadema chini ya Dr Slaa ndiyo wabaya zaid wa kuwapa trust katika hili.

Mfano hai ni huu uhusiano wa karibu wa huyu Wilbroad Slaa wa chadema na Askofu Gwajima aliejinasibu kuwa ni Rafiki yake slaa wa karibu tokea zama na zama.

Gwajima kwa maneno yake machafu amekuwa kinara wa kuwakashifu waislam na kuwakebehi ikiwa ni pamoja na kuingilia mambo hayo kwa wazi wazi.

LEO HII ANAPOKUJA KUSIMAMA NA KUSEMA KWAMBA SLAA NI MTU WAKE WA KARIBU NA HUU UKARIBU WA SLAA KWA GWAJIMA HADI KUFIKIA HATUA YA KWENDA KUOMBEWA NI ISHARA TOSHA KWAMBA LAO NI MOJA.

Hilo tuweni nalo makin sana.
 
Kwa hiyo mkuu, ushauri wako kwa sisi waislam ni kwamba tuichague ccm? Nahisi kama unatumika, siyo bure.
 
Kwa hiyo mkuu, ushauri wako kwa sisi waislam ni kwamba tuichague ccm? Nahisi kama unatumika, siyo bure.

Chadema ni wabaya zaidi kwa waislam.

Kanisa katoliki limejificha vilivyo ndani ya chadema hilo liko wazi.

Najua maneno haya ni machungu kwa baadhi ya watu ila ukweli ndiyo huo.

Slaa ni Chadema yenyewe.

Slaa na Gwajima na maaskofu ni pete na kidole.

Maaskofu hao hao ndio vinara wa kuingilia mambo ya uislam.

Unadhani Slaa Padre huyu akiingia ikulu si ndiyo tumekwisha mazima??

Padre Slaa na Chadema mkae mkijua fika kwamba Tunawajua zaid ya mnavyodhania.

Hata mkijificha nyuma ya ukawa.
 
Back
Top Bottom