Jinsi siku zinavyozidi kwenda ndio jinsi ambavyo vita ya urais inapamba moto, wataalamu wa siasa wanadai kuwa mwenye uwezekano mkubwa wa kupitishwa ni Wasira au Lowasa lakin kitendawili kwa Lowasa ni kuchafuka kwa faili lake kwani hiyo ndio itakayomuondolea sifa ya kugombea hivyo vyanzo vyetu vya ndani vinadai kuwa CCM imani kubwa ipo kwa mzee Wasira sababu ya uadilifu wake na utendaji wake
Naomba kuwasilisha
Naomba kuwasilisha