Recent content by Fredrick Nwaka

  1. Fredrick Nwaka

    Wafahamu baadhi ya waafrika walioshinda tuzo ya amani ya Nobel

    Na Sophia Kiyenze Tuzo ya amani ya Nobel ni mojawapo ya tuzo kubwa na zenye heshima kubwa duniani ambazo zimekuwa zikitolewa kwa zaidi ya miaka mia moja sasa. Wako watu mashuhuri duniani waliowahi kutunukiwa tuzo hiyo ambayo hutambua mchango wa mtu katika nyanja mbalimbali ikiwemo siasa...
  2. Fredrick Nwaka

    TBC YAJA NA KIPINDI KIPYA CHA MADA KUU

    👇🏾👇🏾👇🏾 https://www.youtube.com/live/s2RFMmXcz3Y?si=HJ1N_M0I-DTKM_xT Unaweza kutazama kipindi Cha leo kupitia link hiyo
  3. Fredrick Nwaka

    TBC YAJA NA KIPINDI KIPYA CHA MADA KUU

    Shirika la Utangazaji Tanzania TBC kupitia luninga ya Taifa TBC 1 limeanzisha kipindi kipya Kiitwacho “MADA KUU”. Ni kipindi kinachohusu mijadala moto moto kuhusu masuala mbalimbali yanayojiri katika jamii iwe ni siasa, uchumi, michezo, uongozi n.k Tayari TBC imejizolea umaarufu miongoni mwa...
  4. Fredrick Nwaka

    Uzingativu wa jinsia: Mfumo dume bado kikwazo katika mitandao ya kijamii

    UZINGATIVU WA JINSIA: MFUMO DUME BADO KIKWAZO KATIKA MITANDAO YA KIJAMII Utamaduni wa mfumo dume katika jamii umeelezwa ni mojawapo ya sababu za kutozingatia uandishi wa masuala ya kijinsia katika kuripoti habari wakati huu ambao idadi kubwa ya vijana nchini Tanzania wakitumia mitandao ya...
  5. Fredrick Nwaka

    Mbunge gani harudi 2025?

    Uchaguzi mkuu wa Tanzania unatabirika sana hasa kutokana na ushawishi wa chama cha mapinduzi. Ni wazi hata uchaguzi mkuu wa 2025 unatabirika japo utakuwa mgumu ikilinganishwa na ule wa 2020. Ni wazi CCM bado itadhibiti bunge baada ya uchaguzi mkuu wa 2025. Hili ni kweli ndugu zangu (si...
  6. Fredrick Nwaka

    Vipindi bora vya habari kwenye media za Tanzania

    Media za Tanzania zimepitia mabadiliko kadhaa yanayotokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia. Hivi ni vipindi vya habari ambavyo vinanivutia kwenye media za Tanzania. 1. TBC 1 Aridhio 2. TBC 1 Aridhio 3. TBC 1 Aridhio 4. KAIFA ya TBC Taifa 5. Mirindimo ya asubuhi TBC Taifa 6. Dira ya mchana...
  7. Fredrick Nwaka

    Siasa za Kibaguzi hazitajenga umoja wa Kitaifa

    Na Fredrick Nwaka Tanzania ni nchi inayosifiwa Afrika na duniani kote kwa utulivu wa kisiasa, ikilinganishwa na mataifa jirani kama Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Msumbiji na DRC ambazo zote zimepitia majaribu makubwa ya kisiasa ambayo kama kusingechukuliwa hatua za makusudi kumaliza majaribu...
  8. Fredrick Nwaka

    Kumbukumbu ya miaka 30 tangu kutokea mauaji ya Kimbari dhidi ya watutsi nchini Rwanda

    Nchi ya Rwanda inaadhimisha miaka 30 tangu kutokea kwa mauaji ya kimbari dhidi ya watutsi mwaka 1994. kumbukumbu inayofanyika Jijini Kigali na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali kutoka barani Afrika, Ulaya, Amerika na Asia wakiongozwa na Rais Paul Kagame. Ishara ya kuanza kwa kumbukumbu ya...
  9. Fredrick Nwaka

    Nani anastahili kuwa rais wa TFF?

    Hayahaya wagombea wa urais wa TFF. Nani anastahili kuongoza mpira wa Tanzania kwa miaka minne ijayo? Binafsi naona Karia anastahili minne mingine kwa kuwa chini ya uongozi wake mafanikio yanaonekana. Tumefuzu Afcon. Simba imefuzu mara mbili robo fainali ya Kombe la Klabu bingwa Afrika...
  10. Fredrick Nwaka

    Mafanikio ya Simba yanazifunza nini timu za Tanzania?

    Mabingwa wa nchi Simba Sports Club wameondolewa kwenye michuano ya klabu bingwa Afrika katika hatua ya robo fainali. Hata hivyo kufika hatua hiyo Ni mafanikio mengine makubwa kwa mabingwa hao wa Tannzania. Hii Ina maana kuwa mwakani Tanzania itawakilishwa na Timu nne kwenye michuano ya klabu...
  11. Fredrick Nwaka

    TBC ndio kielelezo cha Ustawi wa Taifa

    Wapo sana..Siku Moja utembelee utajionea
  12. Fredrick Nwaka

    TBC ndio kielelezo cha Ustawi wa Taifa

    Shirika la Utangazaji Tanzania TBC Mei mwaka huu litatimiza miaka 70 ya Uhai wake. TBC uliasisiwa mwaka 1951 na wakati huo ilijulikana kama Sauti ya Dar es Salaam. Tangu hapo TBC imepita vipindi mbalimbali na kubwa mojawapo likiwa ni kusaidia ukombozi wa nchi za Kusini mwa Afrika, ustawi wa...
  13. Fredrick Nwaka

    Uchumi wa mtu unaweza kumsaidia kupunguza matatizo ya afya ya akili

    Watalaamu wa Uchumi wanasema uwezo wa mtu kumudu maisha yake kuwa maana ya kuwa na chanzo cha fedha (iwe kwa kuajiriwa au kujiajiri) humsaidia mtu kupunguza matatizo ya afya ya akili kwa maana atakuwa na uwezo wa kumudu mahitaji yake. Kwako mdau wa JF hili lipoje?
  14. Fredrick Nwaka

    Tuiunge mkono Simba, inaweza kututoa kimasomaso Watanzania

    Klabu ya Simba Jioni ya leo inashuka uwanja wa Taifa Mjini Harare kuchuana na FC Platnum ya Zimbabwe katika mchezo wa mkondo wa kwanza wa Ligi ya mabingwa Afrika. Sema neno lolote kuwatakia kheri mabingwa Hawa wa soka nchini Tanzania.
  15. Fredrick Nwaka

    Orodha ya matajiri Tanzania

    Inashangaza. Watu tunataka kuelewa
Back
Top Bottom