Mafanikio ya Simba yanazifunza nini timu za Tanzania?

Jul 8, 2013
46
125
Mabingwa wa nchi Simba Sports Club wameondolewa kwenye michuano ya klabu bingwa Afrika katika hatua ya robo fainali.

Hata hivyo kufika hatua hiyo Ni mafanikio mengine makubwa kwa mabingwa hao wa Tannzania.

Hii Ina maana kuwa mwakani Tanzania itawakilishwa na Timu nne kwenye michuano ya klabu barani Afrika.

Katika misimu mitatu iliyopita Simba imefika hatua hiyo mara mbili. Ni hatua kubwa mno.

Yanga na Timu nyingine zijifunze nini kutoka kwa Simba?
 
Hank_31

JF-Expert Member
Dec 26, 2013
502
1,000
Funzo kubwa ni kwamba

1: Ili kufanikiwa ni lazima uwe na mipango na malengo.

2: Uchumi imara ili kufikia malengo yako.

3: Watu wenye weledi mkubwa.

4: Uvumilivu na kutokata tamaa.
 
mikedean

JF-Expert Member
Mar 15, 2018
2,907
2,000
Kufika hii hatua kuna faida gani bila kubeba kombe?
Hakuna faida yoyote kwa Tanzania kwa sababu Simba imefika hapo kwa msaada wa 95% msaada wa wachezaji wa nje. Nadhani kama taifa tunapaswa kuangalia tunaliinuaje soka la ndani?

Mafanikio haya ni ya simba na si taifa. Mamelod asiliamia 95 ni wazawa, kaizer Asilima 85 ni wazawa, al Ahly Asilima 95 ni wazawa. Timu ya simba 30 asiliamia Ndio wazawa.
 
makwega7

JF-Expert Member
Mar 18, 2018
209
250
Funzo kubwa ni kwamba

1: Ili kufanikiwa ni lazima uwe na mipango na malengo.

2: Uchumi imara ili kufikia malengo yako.

3: Watu wenye weledi mkubwa.

4: Uvumilivu na kutokata tamaa.
5. Jiwe asimnyanyase MANJI na kusababisha kuhama nchi na biashara zake.
6. Baraza la michezo lisitumiwe kisiasa na Jiwe & co kumkwamisha MAJI asikodishwe timu ya YANGA, na kupekea kua omba omba.
7. Karia aache unazi uliopitiliza kwa mikia badala yake awe neutral .
 
Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,354
2,000
Kufika hii hatua kuna faida gani bila kubeba kombe?
Hakuna faida yoyote kwa Tanzania kwa sababu Simba imefika hapo kwa msaada wa 95% msaada wa wachezaji wa nje. Nadhani kama taifa tunapaswa kuangalia tunaliinuaje soka la ndani?

Mafanikio haya ni ya simba na si taifa. Mamelod asiliamia 95 ni wazawa, kaizer Asilima 85 ni wazawa, al Ahly Asilima 95 ni wazawa. Timu ya simba 30 asiliamia Ndio wazawa.
Simba ni club siyo timu ya taifa na sheria za usajili zinaruhusu kusajili wageni
 
redio

JF-Expert Member
Aug 27, 2016
2,632
2,000
Ayo ni mafanikio ya Simba kwa Yanga hawana la kujifunza kwa mujibu wa kumbukumbu za CAF Yanga ilifika robo fainali ya Klabu bingwa Afrika miaka ya 1969,1970 mfululizo na 1998. Yanga wanatakiwa wajipange ili wafikie fainali au nusu fainali.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom