Recent content by fredosteve

  1. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Hivi wandugu mnatumia site gani kudownload Korean Drama na Muvie???
  2. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Asante sana nmeipata
  3. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Msaada jaman namna ya kuishusha Agent Hamilton
  4. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Kuna hii kitu mpya kabisa season nzima ya kwanza bado ya moto
  5. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Serikali ya Marekani imesitisha mwendelezo wa series ya the Shooter kwa sababu za ki usalama
  6. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Hii ni App gani mkuu?
  7. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Ina episode moja kiongozi imetosha kujua ni nzuri kiasi kaka tafuta icheki
  8. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Haya dude jingine jipyaaa hilo hapo
  9. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Inahusu Analyst wa CIA anagundua kuna bank transaction za kigaidi ambapo badae badae zinahusisha mtu na kaka yake wanaolipiza kisasi kwa Marekani baada ya matukio yalioua wazazi wao wakiwa watoto...ni nzuri kama mpenda matukio ya kigaidi kwa upande wa magaidi na CIA.. Sent using Jamii Forums...
  10. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Kitu kipya Jacky Ryan full ugaidi na mambo ya intelijensia..S01 complete
  11. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Hahaha naendelea nazo mpya na za zamani aisee
  12. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    The Bodyguard Kitu kipya kutoka BBC ina episodes mbili hadi sasa
  13. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yanga msitufanye watoto

    Ila CAF wanatoa hizo fedha baada makundi kumalizika na sio sasa hivi mana kuna ongezeko kila nafasi nzuri timu ikishika katika kundi lake..Bado mpunga haujatema ila dah Yanga ya sasa Mungu tu anajua
  14. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Kuna kitu kipya The Brave...inavutia sana
  15. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Narcos is baaaack S03 Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom