Recent content by Fredmaty Zach.

  1. F

    JamiiForums Tanzania Ubishoo mwingine bwana..soo!!

    Mambo ya tehe tehe teheeee hayo.
  2. F

    JamiiForums Tanzania sema chochote kuhusu wapare

    Havome
  3. F

    JamiiForums Tanzania Stupid question, stupid answer

    Mkeo anakuuliza "umeamkaje mpenzi", wakati hata hujaamuka ni bora kumjibu 'bado hujaamka"
  4. F

    JamiiForums Tanzania Ile unafungua tu boneti ya gari.. Unakutana na hii!

    Nampeleka kwa babu kwa babu kijijini akatengenezwe dawa na umaskini utakuwa mbali namimi.
  5. F

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Pasi ni kifaa kinachotumia umeme mwingi.
  6. F

    JamiiForums Tanzania Mwambie dereva asimamishe kwanza!

    Mwanasaikolojia anataka kuugua.
  7. F

    JamiiForums Tanzania Mke Wa Koplo Hamisi

    Nimeipata nikiwa class nimechek........ sana.
  8. F

    JamiiForums Tanzania sitting room za uswahilini full vituko

    Vua viatu, usipige kelele, unanijua au unanisikia.
  9. F

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya Mchujo wa Jeshi la Zima Moto

    Napitaaaaaa.....
  10. F

    JamiiForums Tanzania nasikia eti!

    Mount Meru Unversity wametoa post za stashahada? Wap nipate orodha ya majina hayo?
  11. F

    JamiiForums Tanzania Kiwango cha mshahara

    kwan ngaz ya mshahara H inapatkana vp kama huna masters? hiyo ndiyo faida ya masters pia upachikwaji wa vyeo ni kugusa tu, wachezea masters wewe.
  12. F

    JamiiForums Tanzania Jukumu langu ni moja tu, kudeliver lecture!!!

    dr hatak majukum kabisaaaaaa.
  13. F

    JamiiForums Tanzania Rafiki wa kike

    Nahitaji rafiki wa kike kutoka pande za kaskazini, kati, kanda ya ziwa mwa Tz, awe mwajiliwa serkalin/mashirika binafsi, umri chin ya miaka 23 kwa mawasiliano zaidi 0769396328 message zote zitajibiwa. mchana mwema.
  14. F

    JamiiForums Tanzania changamoto ya masomo ya geog&math

    mmeona ee!
  15. F

    JamiiForums Tanzania changamoto ya masomo ya geog&math

    Ndugu zangu nimekuwa nikikatishwa tamaa sana juu ya changamoto ya masomo ya geograph na mathematics kuwa ni magumu sana kwa elimu ya juu hususan ktk elimu ya chuo kikuu, na katika machaguo yangu napenda sana masomo haya na sikuwah kuyafel katk mitihan yote niliyowah kufanya, lakin kila...
Back
Top Bottom