Recent content by Fredinho

  1. Fredinho

    JamiiForums Tanzania Movie Bora za Kihindi kwa muda wote

    1.Loha-Dharmendra,Amrish Puri...action kali balaa 2.Baazigar- Shah rukh Khan - stori isiyotabirika 3.Commando- Mithun Chakraboty - action na nachi tamu balaa
  2. Fredinho

    JamiiForums Tanzania Stori gani uliwahi kusimuliwa kuhusu mchezaji wa mpira kumbe 'kamba'?

    Kwamba straika wa Simba Fredy eti ni Fredy fungafunga!
  3. Fredinho

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2000 ulikuwa darasa la ngapi?

    umenikumbusha mbali sana aisee,na Hadija Kopa akatoa na wimbo wa y2k
  4. Fredinho

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kuvunjika mguu

    Pole sana,ila ungemuuliza daktari wako ingekuwa poa sana.
  5. Fredinho

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Salim nakupenda! Kwanini hukunivumilia na unajua nilikuwa mtoto, ukakimbilia kuoa?

    Sio lazima kila ndoto iwe kweli,achana nae.
  6. Fredinho

    JamiiForums Tanzania Nikifika Dar nifikie wapi ambapo ndio center ya jiji?

    Ukiwa na hela ya kutosha kila sehemu ni centre
  7. Fredinho

    JamiiForums Tanzania Kuna kila dalili Samia Suluhu atakuwa Rais wa muhula mmoja pekee, dalili hizo ni hizi...

    Kiukweli hata mimi ningependa amalizie hii ngwe iliyobakia,then tuendelee na utaratibu wetu 2025,mindset yake na mipango yake ilikuwa imejielekeza mpaka 2025 asijilazimishe kwenda mpaka 2030,ingawa simpangii.
  8. Fredinho

    JamiiForums Tanzania Kumbe uzuri wa mwanamke akiwa na Nguo tu

    Kama uzuri wa mwanamke ni akiwa na nguo huwa tunatamani kuwavua nguo ili iwejee! Mwanamke anakuwa mzuri na kuvutia zaidi akiwa mtupu aisee!
  9. Fredinho

    JamiiForums Tanzania Wasafi wamemsajili Lilian Mwasha kutoka Clouds FM

    Siku hizi hatuajiri ni mwendo wa kusajili tu!
  10. Fredinho

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake msiache kujamba kunako 6x6

    Siku akipitiliza akaharisha ndio utajua kujamba sio starehe.
  11. Fredinho

    JamiiForums Tanzania Msiba wa King Majuto: Aibu yako Kikwete, aibu yetu Watanzania...

    Trekta haliwezi kuzuia kifo.
  12. Fredinho

    JamiiForums Tanzania Leo ni TBT hebu sema ni beat ya wimbo upi ambayo ukiisikia tuu inaanza unapagawa

    Mikasi -Ngwair Bongo.com- TNG Hii leo- East coast Hizi beats ni balaa sana aisee
  13. Fredinho

    JamiiForums Tanzania Pamoja na mziki wao kuwa tofauti je kati ya Michael Jackson na Bob Marley nani alikubalika zaidi ulimwenguni

    Unapozungumzia kukubalika hakuna mwanamuziki aliewahi kukubalika duniani kote na kupendwa kama Michael Jackson,ukweli kuwa hit songs zake zilikuwa zinaingia top ten katika nchi tofauti kwenye mabara tofauti,ukweli kuwa show zake zilikuwa zinajaza mpaka kutapika katika nchi tofauti na mabara...
  14. Fredinho

    JamiiForums Tanzania Naitwa edwini mhogo kutoka shule ya msingi SHilawadu darasa la 5 B. Clouds Mungu anawaona

    Kwa lipi hilo kuuuuuuubwa mkuu! usilitaje bure jina la Bwana Mungu
  15. Fredinho

    JamiiForums Tanzania Waungwana eti hili gari gani?

    Gapumbu.
Back
Top Bottom