Recent content by fredie92

  1. F

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Nape si shujaa, amevuna alichokipanda!

    Kama alishinikizwa angejiudhuru ndo angekuwa shujaa...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe akutana na Ney wa Mitego na kuongea na waandishi

    Nahisi harufu ya onyo kali nyuma ya media...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Bi. Salma Kikwete kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Duh! Ila basi bwana... Hongera mama
  4. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta MacBook Pro

    Natafuta laptop tajwa hapo juu... Specifications iwe na RAM 8GB Harddisk 500 GB Ni-PM kama unayo pamoja na ulipo na gharama zako, biashara tufanye tarehe 7-11-2016.
  5. F

    JamiiForums Tanzania Kila mwananchi lazima apake nyumba yake rangi - DC Kinondoni

    Usipopaka kuna adhabu gani?
  6. F

    JamiiForums Tanzania System ya maji moto

    Salaam! Naomba kujua anaeweza kunielewesha jinsi huduma ya maji moto kwenye hoteli kubwa inavyofungwa! Mfano:- Hakuna valves mbili za ku-control maji (moja maji moto, moja maji baridi)kama maeneo mengi nilivyoona! Kwenye hotel kubwa valve ni moja na una adjust maji unayoyataka wewe! Naomba...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Niuzie Epson printer Lq 690

    Nilishapata mkuu!
  8. F

    JamiiForums Tanzania Dondoo za Bajeti 2016/2017, kujitegemea kwa asilimia zaidi ya 80

    Ukiona mtu unamdai afu ananenepa ujue amekidharau...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Niuzie Epson printer Lq 690

    Natafuta printer tajwa hapo juu! Mwenye nayo tuwasiliane hapa na bei...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Sumaye aiangukia serikali

    Magazeti mengi ni majipu! Tuna tatizo la zanzibar na mengineyo ila lenyewe limeona suala ni Sumaye as front page!
  11. F

    JamiiForums Tanzania Japo sikukubali, Lowassa umenifundisha mambo makubwa 08 yafuatayo...

    Kubisha kila kitu sio kipimo cha ubora wa kufikiri...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Tigo leo mmeniharibia sana

    Nilijua Mbeya tu... Till now NO mtandao bila maelezo.
  13. F

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Nasikitika kuwatangazia kifo cha Baba yangu kipenzi

    Pole sana mkuu
  14. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina mimba ya rafiki wa mume wangu, nifanyeje?

    Unawaza mimba? Hauwazi ukimwi? Kipi rahisi kuingia hapo? Pole....
  15. F

    JamiiForums Tanzania Lowasa & team kuwafuata Mramba na Yona Keko

    Umeanzisha uzi ili utukanwe?
Back
Top Bottom