Petronfrancis
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 329
- 130
Yaani Khantwe mimi ni Halotel, vodacom na airtel sitaki kusikia wala kujua kama kuna kampuni inaekti kutoa huduma ya mawasiliano
poleni wanatigo kwa maswaibu yaliyowakuta siku ya leo.
Na vipi kuhusu tuliojiunga na vifurushi vyao na vinakaribia kuisha muda, watatufidia katika hilo? Maana katika bango lao la kuomba radhi, hawakuliongelea hilo. Na hata ukipiga huduma kwa wateja 100 - hawapatikani. Kikawaida wanatakiwa wapatikane kwenye namba hiyo, maana siyo wote wenye Access ya mitandao kama facebook, twitter, na mengineyo.
Ahsante!
Daah maskini GB zangu nimezibebanisha kwa siku 3 mfululizo inaniuma sana lazima wakirudi hewani niwaendee hewan tu haiwezekani lazima warudishe
Kesho naenda makao.makuu kugombana nao ujinga ctaki nimeweza kuvumilia ujinga wa lubuva tu lkn c mbwiga mwingine
Ww ukiwa nani cjawahi ogopa ujinga kama huo, kama kuna kitu nikiogopacho ni kile ninachoamin full ctop