Sumaye aiangukia serikali

singidadodoma

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
4,394
1,536
DSC00553-1.jpg
 
Magazeti mengi ni majipu! Tuna tatizo la zanzibar na mengineyo ila lenyewe limeona suala ni Sumaye as front page!
 
Huu mkaratasi kwenye maandishi mekundu hapo juu ni kichefuchefu,hawajitambui na ndio maana hata wanachopeleka mjengoni Dodoma hawakai chini wakashauriana wanakurupuka tu!.
 
Huu mkaratasi kwenye maandishi mekundu hapo juu ni kichefuchefu,hawajitambui na ndio maana hata wanachopeleka mjengoni Dodoma hawakai chini wakashauriana wanakurupuka tu!.

Mkuu..hiko kichefuchefu kimekeletwa na hayo maandishi mekundu au mimba changa?
 
Back
Top Bottom