Recent content by fred1149

  1. F

    Rafiki yangu kanipa kesi, kisa nimemsaidia mtoto wake mwenyewe

    Nafikiri ulitumia busara Sana ila ulitakiwa kwanza uanzie mbali, Kwanza kama mtt anashinda na njaa, na kupewa adhabu, ilikuwa ulishindwa kurecord matukio kama ulikuwa unayaona? Siku hizi kuna camera ndogo za 20 elf unanunua 2 na kisha unaweka na kurecord? Then ndo umuambie mshkji? Au hata kama...
  2. F

    FIFA wanaua soka, Kila timu inayoshiriki kombe la dunia la vilabu kupewa takribani shilingi bilioni 130, Mpira wa Afrika unaenda kuwa farmers league

    Mkuu umezungumza kama vile ulikuwa kwenye mawazo yangu ila nafikiri Simba wanaweza kuwa matajiri kama wakifanya yafuatayo:- 1: Siku ya simba day wanaweza kuleta timu kubwa mbili au 3 kwa siku tofauti tofauti ambapo kuwepo na tofauti ya siku mbili mbili, wanaweza vuta hela Sana. 2: wanaweza...
  3. F

    Wanasheria nisaidieni: Nina eneo langu lakini nimekuta limepangiwa matumizi bila kunihusisha

    Mimi nimekuelewa Sana, unajua scenario yako watu humu wanataka ueleze as if upo mahakamani. Labda kwa maelezo yako nimekuelewa kama ifuatavyo:- 1: eneo lako umenunua kihalali na sale agreement ipo witnessed by local authorities of that disputed piece of land. 2: kuna ramani ipo hapo kwa ajili ya...
  4. F

    Let's talk English, to examine if your English worths the school fees you paid

    I would like to express my sincere thanks for addressing us on anyone who wishes to express anything using an English language. But unfortunately, I wish to correct you on some parts of the english language to make it sound well. First,u may use the word "dear jamii forum members, or dear...
  5. F

    Kwenye msitu wangu kuna black mamba/ koboko natafuta njia za kumwangamiza bila kuleta madhara kwenye jamii

    Kwani mkuu ukimuona let's say kwenye mti na ukazungushia petroli ukawasha eneo Hilo, huwezi mpata tena. Au unaweza chukua chumvi ukamwaga maeneo yake, maana chumvi huwa inamkata kata, au unaweza nunua oil chafu ukamwaga maeneo alipo, maana hawezi kuslide lazima tu akiona hyo Hali hakai ataondoka...
  6. F

    Vidonda vya tumbo mpaka kooni

    Hebu toa hyo dawa watu waijue au kama vp waje in-box maana ugonjwa huo ni janga la taifa. Mimi huwa nashangaa wabongo,wakijua kitu ni vigumu kuwapa wengine maarifa hayo,kwani kusema dawa kuna shida?
  7. F

    Jinsi nilivyolazwa nje na wachawi mkoani Njombe

    Sijawahi sikia kuwa kuna mti ambao watu waliokufa kwa njia ya kichawi wanaweza rudi. Ingekuwa hivyo ingekuwa ndo mwisho wa wachawi kufanya ujinga wao na pia kuumbuka. Pia watu wengi wangerudishwa maana kila mtu angeenda kuuchukua. Kumbuka kuwa hapa Tanzania mambo kama hayo yanafanya watu wengi...
  8. F

    Marekani yaitahadharisha Tanzania juu ya Uchelewashwaji mradi wa LNG, Wawekezaji mbioni kujitoa

    Nimesoma kiingereza chote cha gazeti la citizen ila sijaona sehemu ikisema kuwa kuna mvutano wa direct investment ambayo Tanzania inataka ipewe au ipate mapato ya 35-40% na wazungu au wawekezaji wanataka kutoa 25-30%. Isijekuwa mtoa taarifa hana taarifa yoyote na anajaribu kutudanga. Mfano...
  9. F

    Nasumbuliwa na kitu kukaba kooni nimezunguka bila kufanikisha

    Hii acid reflux inaponyesha au only inafanya kupoozesha tu? Dawa inaitwaje?
  10. F

    Zambia anafungwa na Morocco , Tanzania tunamfunga Congo, bado tuna nafasi kubwa tu

    Hizi ni ndoto za alinacha maana sijaona mpira ambao tunaweza sema tumecheza maana mbinu za kimpira hazipo kabisa na timu inacheza kama vile imeshinda bao zaidi ya 5. Yaani kucheza kwa kurudisha mpira nyuma mara kwa mara,kitokuwa na hamu au shauku ya kucheza mpira wa malengo,kutokushambulia na...
  11. F

    Mapinduzi Cup imeoza, mshindi amepangwa. Rwanda kutoshiriki tena? Simba inatolewa leo kwa Maelekezo?

    Nafikiri kuwa APR kwanza wamecheza mpira na ku-dominate mchezo kwa kiasi kikubwa. Wamekosa kosa magoli na pia tuseme ukweli, wanatakiwa wapewe maua yao. Mimi sio mchambuzi ila kiukweli ambacho hakisemwi Sana na wachezaji wa zanzibar kuunawa mpira katika eneo la kipa mara 3 kwa mimi nilivyoona...
  12. F

    Dawa kutoka CUBA ni Mpango Serikali kupitia wizara ya Afya au Polepole?

    Nilisikia akitaja dawa mbali mbali Hadi ya kutibu kisukari. Ila nadhani alitoa no yake bila kutaja sehemu zinazopatikana japokuwa kwa Sasa no yake haipo kwenye mtandao. Mwenye maelezo yote aweze kushare hapa
  13. F

    Mashabiki wa Simba tujiandae kisaikolojia!

    Mimi nafikiri bado Wana simba hawataki kusema ukweli kutokana na kuwa muddy kaitoa mbali na kuifikisha hapo japokuwa ni kwa muendelezo wa miaka 4 hivyo imepanda kiwango ila mimi naweza sema kutokana na juhudi binafsi za wachezaji, sapoti ya wana Simba, morali na hata uongozi wa babra apewe maua...
  14. F

    Mwenye kuifahamu Honda Crossroad

    Kwani kwa Tanzania hapa tuna gas, si inaweza tumia gas pia?
  15. F

    SPEEDAF Carrier na uhuni wenu wa kitoto mnaotufanyia

    Tatizo watu wote wanalalamika kuhusu kupotea mizigo yao ila hakuna aliewahi shtaki mahakamani ili upate hela ndefu, tatizo Nini haswa?
Back
Top Bottom