Recent content by Fred lingo

  1. F

    JamiiForums Tanzania Fomu za kujiunga(Joining instruction) kwa shule mbalimbali za sekondari nchini

    mkuu naomba unisaidie joining instructions ya J.K. NYERERE HIGH SCHOOL MBEYA na KAKONKO HIGH SCHOOL KIGOMA. nisaidie kupitia kwenye email hii: lingondwafred@gmail.com
  2. F

    JamiiForums Tanzania Fomu za kujiunga(Joining instruction) kwa shule mbalimbali za sekondari nchini

    mkuu naomba unisaidie joining ya J.K NYERERE HIGH SCHOOL MBEYA na KAKONKO HIGH SCHOOL KIGOMA. email: lingondwafred@gmail.com
  3. F

    JamiiForums Tanzania Tamko: Ukweli uliojificha kuhusu Kitwanga kufukuzwa Uwaziri

    Asanten kwa taarifa
  4. F

    JamiiForums Tanzania CZI yamjibu Prof Lipumba kuhusu suala la sukari, yamtaka awe mkweli

    Mm nilijua bodi ya sukari Tanzania imebadilishwa jina na CZI, kumbe wasaka Udc wapo kazini,,,,
  5. F

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Tutagawa bure Sukari itakayokuwa imefichwa

    Mm nahc viwanda vyeti ni kikwazo na si vinginevyo,,,,
  6. F

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa Majeshi na IGP hebu washughulikieni askari hawa kwani wanakera

    Ujumbe umefika mkuu,,,
  7. F

    JamiiForums Tanzania BUNGENI: Serikali imeagiza sukari kutoka nje sababu ya uhaba

    Kuhusu huu mchezo unaondelea nadhani muda utaongea tu,,,,,
  8. F

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu NACTE

    Habari za saa hizi wadau, Samahani sana wadau kwa yeyote mwenye uelewa kuhusu hili anisaidie.Kuna dogo wangu amemaliza form four mwaka jana 2015 lakini kila akijaribu kufanya application NACTE kwa kozi mbalimbali inakuja sms kuwa namba yake ishatumiwa na mwombaji mwingine. Lakini huyo dogo...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Result slips za Form Four 2015/2016

    Samahan wadau naomba msaada kwa anayefahamu kuhusu hili, kuna dogo wangu amemaliza form four mwaka jana 2015 kila akiingia NACTE kwa ajili ya kufanya application ya Kozi anaambiwa namba yake ishatumiwa na mwombaji mwingine lkn huyo dogo hajawahi omba nacte zaidi ya siku hiyo na kwa mara ya...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Hili la kufukuza walimu wakuu wakifelisha, napingana nalo 100%

    Usimsahau na mwalimu Nyerere maana hata yeye anahusika kwenye hili la mishahara midogo ya walimu,,,,,
  11. F

    JamiiForums Tanzania Serikali iiangalie Shule ya Sekondari Njombe

    Yaan Mwanafunzi kumpiga mwalimu, hiyo aikubariki hata peponi halafu unategemea walimu wengine wafurahie hicho kitendo,,,,??? Hapo kila atabeba mzigo wa dhambi kwa staili hiyo ya kupiga walimu halafu mkuu wa shule anatetea,,,,
  12. F

    JamiiForums Tanzania Mwantumu Mahiza alistahili kuteuliwa Mkuu wa Mkoa

    Asubirie nafasi ya ukuu wa wilaya.
  13. F

    JamiiForums Tanzania UVCCM Wapinga Balozi Juma Mwapachu Kurejea CCM, Wataka Waliompokea Watimuliwe

    Vita vya panzi,,,,,,???
  14. F

    JamiiForums Tanzania NACTE

    Nahic ni mtandao tu, hivyo pata muda wa kujaribu tena bdye,,,,
Back
Top Bottom