Wakuu wa Majeshi na IGP hebu washughulikieni askari hawa kwani wanakera

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,284
21,403
Habari za weekend;

Nimeona niandike uzii huu kutokana na kamata kamata inayoendelea kwa waendesha Boda Boda; kwakweli nashindwa kuelewa kama kweli hakuna style nyingine ya kushughulikia hawa maboda boda, Hii style ya kuteka bodaboda mi naona imepitwa na wakati, hivi kwanini Jeshi la police lisibadilike na kufanya kazi zake kitaalamu, unapotumia mabavu kukamata bodaboda kuna madhara matatu yafuatayo;

a) Unaweza sababisha ajari kwa dreva wa bodaboda na abiria wake na hata kusababisha vifo visivyo na maana.

b) Unajenga chuki binafsi kati ya raia na askari, ndio maana inafikia raia kukosa uchungu kwa askari wao wanapoona askari kapigwa ama kufariki.

c) Inashusha hadhi na heshima ya askari.

ASKARI POLICE KUONGOZA KWA MAGARI MABOVU YASIYO NA BIMA

Nazani siku hizi ASKARI marupurupu yameongezeka,Pia Naona ASKARI wengi siku hizi wana ile michezo ya hela, kiila siku LAKI LAKI mtu anatoka, kwa mchezo wa ASKARI 50 siku akipokea ni KITITA, ILA sijui wanapata wapi hizo LAKI KILA SIKU hilo nawaachia TAKUKURU, na ndio maana sahivi kiiila ASKARI ama ana pikipiki, ama gari ama wengine wanajenga mijengo. Napongeza ila Naomba kusema kuna baadhi ya ASKARI hawajitambui kabisa, wanafikili ni sifa kwa kukaa na magari mabovu au yasiyo na bima, Ewe ASKARI gari lako kutokuwa na bima si sifa ya ASKARI bali ni ujinga unaolindwa na viburi vya kazi ya uaskari; ASKARI anatakiwa kuwa perfect.

Kuna madhara yafuatayo kwa gari au pikipiki yako kutokuwa na bima

a) Gari yako itakusumbua endapo ukaihitaji kuiuza, itakuwa haiuziki, ama utalazimika kuiuza kwa gharama ndogo sana kutokana na kudaiwa deni kubwa.

b) Upatwapo na ajari gari yako itakosa haki ya kulipwa na bima.

Yakupasa ewe ASKARI uwe mfano, Ifikie mahala watu watamani kununua magari ya ASKARI kutokana na ubora na uimara na si kama ilivyo sasa kwani ni MABOVU MABOVU MABOVU mno.

ASKARI WANAONGOZA KWA KUVUNJA SHERIA NA HAWAKAMATANI

Hapa ndipo panaponikera mimi, yaani nashindwa kuwaelewa baadhi ya ASKARI, Nashindwa kutofautisha uelewa wa baadhi ya ASKARI na mgambo, wewe unayesimamia sheria halafu unakuwa wa kwanza kuivunja maana yake nini? Kama ni hivyo basi Sheria haina maana, SHERIA NI lazima ifuatwe, sijui ASKARI WETU kama ni binadamu ama ni maraika, utashangaa askari anaendesha pkpk Hana helement kavaa kofia ya ASKARI au kofia ni HELEMENT kwa ASKARI?, PIKIPIKI ZA ASKARI NI MBOVU MBOVU MBOVU, Gari za ASKARI ni mbovu, hazina BIMA yaani ni MBOVU lakini zipo barabarani kiila siku na hazikamatwi, Je hawa wanasimamia SHERIA YA NINI au ni mradi wa kupatia kipato? kuna baadhi ya ASKARI mbona wamejaa ubabe na si UWELEDI? KUNA HAJA YA KUHAKIKI VYETI VYA ASKARI UPYA..

RUSHWA KWA MAASKARI

Hapa ndipo panapo KERA watu wengi, ASKARI hivi kuna haja ya KUFOKA kama umemkamata mtu na kosa, si unamwandikia kosa akalipe? Utashangaa ASKARI Ana mkamata mtu ANAFOKAAA utazani anamfokea mkewe? Tena hii inakera sana, kuna siku tutasikia watu watajitoa mhanga kwa HASIRA kwa hili. ASKARI wa TANZANIA hii utashangaa anakukamata hauna kosa kwa dharau tu anaamua kukuweka pembeni kwa mda anaotaka yeye, yaani anakuweka tu, IGP hebu anza kuwatumbua hawa watu wako. Iwekwe mda kwa ASKARI kumsimamisha raia akiwa kamkamata, kama kosa aandikiwe au aondoke na si kumuweka kwa mda autakao yeye.

…MKUU WA MAJESHI/ MKUU WA POLICE HAYA NDIYO MAJIPU MNAYOTAKIWA KUANZA KUYATUMBUA ILI KUREJESHA HESHIMA YA JESHI……
 
Kama ni boko haram ni boko haram tu. Ujitoe mhanga kwa lipi?
 
Mkuu umeongea kimajungu sana......hayo yote mkuu Wa jeshi amekuwa akiyasisitiza sana hata kabla ya serikali hii ya magufuri....

Na sasa askari ni mifano pikpk zao zimesajiliwa na magari yao.

Rushwa kwa sasa imepungua kwa asilimia kubwa sana...maana laki saba na nusu kwa MTU mwenye cheo cha chini na Elimu ya form four....si haba.....

naona inaezekana umechukuliwa mke na police au mwanajeshi
 
Kaka mi nazani hujasoma vizuri, nakushauri usome tena...
 
Back
Top Bottom