Recent content by fraule

  1. fraule

    Kuzama uvinza(chumvini) zilipendwa!

    Ibaki kuwa hivyo mana hata maandiko yanasema ole wao sana fanywa na wafanyaji...
  2. fraule

    Kumekucha: China na Urusi zaanza mazoezi kwenye rasi ya korea

    I love N.korea n not America's
  3. fraule

    Ongezeko la hizi pesa mtaani nini tatizo?

    Hali ya uchumi kw mtaa co nzuri ndo mana silver znaonekana kwa wingi ....
  4. fraule

    Ndege ya ATCL(Air Tanzania), imetua Arusha airport imeshindwa kugeuka

    Ogopa sana kuishi n mtu mwenye akili n aliyekosa busara maana kwke maovu ndio furaha na amani y moyo wake
  5. fraule

    Gharama kiasi gani kuanzisha Salon ya Kike?

    Jamani wana jamii naombeni kuuliza kw wenye uzoefu na utaalamu w mambo y saloon z kike ili iwe stable n muonekano mzuri w kuvutia wateja inahitaji km Tsh/=..?
  6. fraule

    Mwanaume huyu amenichosha

    Ushauri wangu kwko ni kumuacha huyo jamaa ako kimykmya bila kumwambia lolote yye na dada ako mana ukimwambia dada ni vita nyingne hiyo isiyo kuwa na refa ili waendelee na ww ukafnye yko mengine na faraja mpya kw new husband
  7. fraule

    Mwanaume huyu amenichosha

    ora but mwenzetu anaomba ushauri afnyaje sasa ktk hilo
  8. fraule

    Mwanaume huyu amenichosha

    Sure ndugu mana cku hakuna kabsa maana y blog hii(great thinkers)wamejaa watu ovyo had kero,wasio nn maana y msaada w mawazo chanya wanajari jamii itachekaje leo
  9. fraule

    Mwanaume huyu amenichosha

    Imagine kwko sasa
  10. fraule

    Rais Magufuli kuwa mwangalifu na misaada ya Wazungu, hasa Waingereza!

    Mleta mada una maono y mbali yaliyo positive nakuunga mkono kw hilo Mr president achukue ushauri na ikiwezekana akuite white house km mshauri wke
  11. fraule

    Dunia ilipo ni hapa

    Ndo mwanzo ndugu yangu tutafka huko c unajua hatua za ukuaji kw mtoto,kuna kukaa,kutambaa,kucmama then kutembea huku akijfunza kuongea..
  12. fraule

    Channel Ten badilikeni mnaboa

    Sure boy mana siwaelew kabsa hata star tv ila ikfka bbc wanakuwa vzr
Back
Top Bottom