Agustino Regnald
JF-Expert Member
- Aug 15, 2016
- 501
- 428
kicefu chefu kabisaila picha zake mbaya
kicefu chefu kabisaila picha zake mbaya
Mkuu kitabu nimefuta sema tu ndo hivo mitambo yao itakuwa imepata kutu waisafishe labda itaonyesha picha zenye nafuu hata kalogo kao kana ukurutu wakati kanaonekana kalibuniwa vizuri...ungejaribu kufuta tv yako kwanza,laaaaabda itakuwa ina vumbi....
....ila kweli wale jamaa wanaboa
au studio ipo karibu na barabara ya vumbiMkuu kitabu nimefuta sema tu ndo hivo mitambo yao itakuwa imepata kutu waisafishe labda itaonyesha picha zenye nafuu hata kalogo kao kana ukurutu wakati kanaonekana kalibuniwa vizuri
Sure boy mana siwaelew kabsa hata star tv ila ikfka bbc wanakuwa vzrYaani nyie picha zenu ni mbovu kweli mnaweza kuwa na content nzuri lakini picha zimefubaa kweli tena ni vipindi karibia vingi, jamani mna vipindi baadhi vizuri ila ubora wa picha hakuna kabisa, mathalani Habari picha hazifurahishi kabisa.BADILIKENI
Clouds Tv ni kweli...Rangi mbovu kabisa kama hao ndugu zao Channel Tenila jaman c hao tu hata crouz pia
Nadhani magic wameshafunguliwa.clouds TV nao wabadilike mihabari yao haina mvuto kabisa
Hao channel ten imekuwa channel ya mahubiri na waganga wa tiba za asili , yaani mda wowote ukiwasha lazima ukutane na moja kati ya hivyo viwili
Ila nahuzunika kufungiwa Kwa Magic FM maana wakina Mkambala na Marry Edward uchambuzi wao wa magazeti ulipata umaarufu mkubwa hadi tukawa tunachelewa kazini ili kuwasikiliza