Tafsiri ya Yesu ni kristo kwa maana ingine muokozi.hakukuwa na ukristo kabla ya Yesu hivyo wafuasi wote wa yesu ni wakristo sababu wameamua kumuamini na kumpokea Yesu(kristo)
Stress ni kitu ambacho hakiepukiki kutokana na changamoto za maisha tunazopitia. Lakini cha msingi ni namna ya ku manage hizo stress japokuwa kuna baadhi vya vyakula huwa vinayumika kupunguza stress sababu vinakufanya upumzike vizuri. Jaribu kutumia biringamya kwa wingi wakati wa kulala na...
Sure.. as long as it is a matter of opinion and not a factual matter, I would say you are ryt 100% bt to me no one like big. Notorious had its own remarkable rapn style as well as grt freestyling ability. He came in game and become hip hop figure for short period of time.
Mkuu umesahau kuwa wananchi ndio tunaamua chama gani kibaki madaraki japo sina uhakika kama huu mfumo unafanya kazi kwenhe nchi nyingi za afrika na kingine..mabadiliko ya CCM yana manufaa gani kwa wananchi..
Kama hupendi upinzani basi hupendi democracy sababu vyama vingi(vyama vya upinzani) ni moja kati ya nguzo kuu za democracy. Vilevile sizani kama wapinzani huwa wanabisha tu bila hoja, na kama ingekuwa wanabisha bila hoja za msingi basi upinzani usingekuna nguvu kiasi hichi. Sema bro unachuki...
Pole sana kwa hali ya mpito unayoipitia lakini ni jambo la kawaida hususa ni pale matatizo yanapotokea especially katika swala la uchumi. Nasema ni hali ya kawaida sababu ukisoma vizuri cognitive theory inaeleza bayana jinsi mwanadamu anavyobadilisha mwenendo haswa pale anapokuwa na stress. Na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.