Recent content by FrankLucastheSuperFly

  1. FrankLucastheSuperFly

    Nchi inaliwa jamani wanavuna bila huruma hii hapana kuweni na kiasi

    Umeongea kinyonge sana, hilo nalo ni tatizo, waTanzania tuna kaUoga fulani kwenye ku-react tunapokosewa wazi wazi kabisa, wanatuona hatuna madhara ndio maana hawajali
  2. FrankLucastheSuperFly

    Je, ni mfuko gani wa UTT AMIS uko vizuri zaidi?

    Usisahau kuna kitu kinaitwa Compound Interest Kama hiyo million mbili asipokuwa anatoa faida kila mwaka capital itaongezeka na faida itaongezeka zaid.
  3. FrankLucastheSuperFly

    Manji akibembelezwa 'tutapigwa' tena

    Nakuunga mkono man
  4. FrankLucastheSuperFly

    Juice na unga wa ngano kutoka viwanda vya Kenya vitaingia Tanzania bila vikwazo na sementi kutoka viwanda vya Tanzania vitaingia Kenya bila vikwazo

    Moja kati ya gonjwa letu kubwa sana hili, huwa hatujadili solution sisi ni kulalamika tu.. Yaan wanyongee
  5. FrankLucastheSuperFly

    Juice na unga wa ngano kutoka viwanda vya Kenya vitaingia Tanzania bila vikwazo na sementi kutoka viwanda vya Tanzania vitaingia Kenya bila vikwazo

    Pessimism ni mbaya, kwahiyo unamuombea kufeli ama. Yaani mtanzania mwenzako anapambana we unataka afeli
  6. FrankLucastheSuperFly

    Forbes: Top 10 Richest Men in Tanzania for October, 2018.

    Acha kuongea habari za dini karne ya 21 ww
  7. FrankLucastheSuperFly

    Dini na ukabila zisihusishwe na Taasisi ya Rais

    Acha tabia hizo, jenga hoja tuelewane MNAFELIGI HAPO TU ndugu zangu
Back
Top Bottom