Forbes: Top 10 Richest Men in Tanzania for October, 2018.

Humjui bakhresa ni hodari wa kuficha mengi yake hilo lijue tutabishana hapa bure Forbes hawakosei mbn hawamueki bin salman au alnahyan ama tamim althani kama matajiri wa dunia? Huwezi kuwaelewa matajiri wa kiarbu na wa kihindi tz kama wategemea Forbes wengi wao wa nafanya makusudi kutodeclear baadhi ya assets zao
Ndio kimsingi moo anazidiwa mbali sana na bakhresa
 
2nafanya kazi kwa ajili ya pesa lakini matajiri wanapesa zinazofanya kazi badala yao! by robert kiyosaki
 
Hao Forbes naona km hawana ripoti za bakhresa vizuri. Kuna sehem nlipita pita uko nkaona bakhresa ana km $10.6 billion.in short hata uyo moo hawez mfikia bakhresa.
Sawa ulipitapita na mimi nilipitapita huko sehemu nikaona MO anautajiri wa Dollar Billion 500
 
Mkwere ana mpunga wa kutosha waliokusanya na HOME SHOPPING CENTRE pamoja na CHINESE contracts za gesi [ aliwauzia wachina] zizopitishwa na bunge kwa hati ya dharula; zile JIWE anazosema zina wenyewe!!!

Hii ndio moja ya sababu JIWE anang'ang'ania mradi wa Stiegler's Gorge ujengwe kwani ameona mkwere alimtangulia kuchukua 10% kwenye gesi na yeye anataka kutengeneza yake kwenye mradi wa Stieglers hydoelectricity!! Othrerwise mradi hauna economic justification.

Mungu tuepushe na ignorance!
 
Back
Top Bottom