Recent content by Francovic benard

  1. Francovic benard

    DC mstaafu Richard Kasesela atubu Kanisani kwa Mchungaji Matsahi Kosa la kumfukuza Kazi Afisa Tarafa kimizengwe, Kasesela Alia!

    na MUNGU huyo huyo ndo alipanga Mwaulesi na Kasesela wakutane ili idhihirike na ni MUNGU atakae muinua tena Mwaulesi nafasi ya juu......... ishike tarehe ya leo
  2. Francovic benard

    Siri nzito za Dunia zinamilikiwa na watu wachache sana

    mbona hawa wanaopiga pesa bila nguvu ndo wapo wengi unajua wenye hela ni wanasiasa na sio wale wafanya biashara.... lkn wakionekana wao ndo wenye hela hawataaminika kwa jamii yao waliyoiaminishankyuwa nwao ni wawakilishi wa shida zao
  3. Francovic benard

    Ukimya na Usiri wangu unanifanya nionekane Usalama wa Taifa

    wewe unajishtukia tu siku hizi kila mtu na mambo yake unadhani nani wa kukuhisi wewe ni usalama wa taifa kama sio unajihisi mwenyewe. Fanya kazi
  4. Francovic benard

    Watu wa kuchora ramani za nyumba punguzeni udalali

    Kwa kuwa yeye ni injinia basi analeta ujuaji mwingi..... iko hivi athari haipangwi na mwanadamu lakini ni matokeo ya kazi ya mwanadamu..... majengo mangapi yametumia wasanifu wakubwa na yamedondoka? Hayo ni matokeo lkn kabla huwezi panga kazi yako iwe na uhakika wa kutoharibika..... aendelee...
  5. Francovic benard

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    kama dunia ni flat basi huo na jua ndo linaizunguzuka dunia basi jua mwanga wa jua ungefika kote dunia nzima maana wote ni flat na wote tungekuwa na majira ya mwaka ya aina moja yani km masika ni wote au vuli ni wote kitu cha kutambua hapa kumbuka kila mwanasayansi hasa hao wenzetu wameumbwa na...
  6. Francovic benard

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    ww ndo umecomment kitu kizur ambacho nimekifiria mimi safiiii
  7. Francovic benard

    RPC Arusha na ulinganishi wa vyeo JWTZ na PT

    katika vyeo vya kijenerali viko vi4 kuna 1-Brigedia jenerali 2-Meja jenerali 3-Luten jenerali 4-JENERALI...huyu ndio top nchi nyingi dunian kwa 95% JENERALI anakuwa mmoja kama mkuu wa majeshi...ila kwa ha octavo wengine kuanzia Luten Jenerali wanakuwa zaidi ya mmoja...hapa TZ kwa sasa LUTEN...
  8. Francovic benard

    RPC Arusha na ulinganishi wa vyeo JWTZ na PT

    yeye pia hajakili kama mwanzo alisema IGP sio cheo ni madaraka,,asidhani tumesahau
  9. Francovic benard

    RPC Arusha na ulinganishi wa vyeo JWTZ na PT

    Duuuuhh mzee baba hili jibu kuna ishara njema kweli
  10. Francovic benard

    RPC Arusha na ulinganishi wa vyeo JWTZ na PT

    ahahaahaa jamaa ametoa jibu kwa hasira aisee hebu kwa sasa muache
Back
Top Bottom