Francovic benard
Member
- Jul 13, 2015
- 79
- 34
ww ndo umecomment kitu kizur ambacho nimekifiria mimi safiiiiKitu kinachonifanya niendelee kuamini kuwa dunia ni duara ni usiku na mchana, yaani huku kukiwa usiku nchi zingine kunakuwa mchana........kama dunia ingekuwa flat au nusu duara, jua lingekuwa linafika katikati basi dunia nzima yaan nchi zote ingekuwa mchana lakini hiki ktu hakiwezekani lazima kwingine kuwe usiku kwingne mchana, halafu UN bendera yao waliitoa hivo ili mabara yote yaonekane vizuri (yaani picha imechukuliwa juu ya dunia na sio pembeni kama picha zingine zinavyoonesha)