Recent content by Franco Jb

  1. Franco Jb

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Alafu baba levo ni chawa! Kumbe Tanzania's entertainment industry Ina hela kinoma.
  2. Franco Jb

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Hi timu inaenda kutuwakilisha vema sanaa Wafcon mwaka huu.
  3. Franco Jb

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Sahihi kabisa. Nakumbuka kuna wakati watu walikua wanapeleka watoto wao Kenya na Uganda Secondary kwasababu ya ugumu wamithani ya Tz. Tanzanian education is aimed at acquiring the best of the best. Na hio ni O level tu.
  4. Franco Jb

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Huyo jamaa anajizima data tuu. Mbona Senegal ni kati ya timu bora africa ila haikuwahi kuchukua kikombe cha afcon kwa miaka mingi mpaka ilivo fika 2021 ndo wakachukua?
  5. Franco Jb

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Yani hii ni elimu ya sekondari kabisa. Nakumbuka ni topic Historia ya lugha ya Kiswahili. Hivi wakenya mnasoma nini shuleni?
  6. Franco Jb

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Nadhani umepost hio picha kwa sababu ya hizo nyumba zakizaman zilizo pembezoni! Ila hizo nyumba ni nyumba zilizoachwa kwakutunza utalii na historia ya jiji la Dar! Hawakushindwa kuvunja hizo nyumba ila ni nyumba ambazo zina miaka zaidi ya 100! Nadhan mamlaka waliomba zihifadhiwe! Kwaio mkiona...
  7. Franco Jb

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Usicheke,hizo ni world class slum na Kenya inayo one of the biggest in the world,ni kivutio tosha cha utali.Tanzania mnacho kivutio kama hicho?
  8. Franco Jb

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Labda wana AC,huwezi jua😄😄😆
  9. Franco Jb

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Wa Kenya sio wabunifu kwa swala la muziki.sahivi naona wanamziki wao washanza kukopi bongo flava baada yakuona bongo flava inapasua border na kufika mbali Africa na dunia kwa ujumla
  10. Franco Jb

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Ethiopia ninchi ambayo inashida sana,wanaijenga Addis kwanguvu sana lakini kwa akili tu hamuoni wananchi wakihama nchi yao wakienda nnchi nyingine ili wapate unafuu wamaisha.Wahamiaji hramu kila siku nashanga mmeikaznia siku hizii
  11. Franco Jb

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Hizo slum kwa wakenya ni invisible,hata uwaeleze vp hawatoziona lazima watajifanya kama hawazioni.Alafu w anajisifia kwamba maisha ya mombasa ni ghali wakati wananchi wanaishi bangladesh.
  12. Franco Jb

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    ukumbuke wazungu walikuja kwenu kwanza kabla kuja huku.nadhani umeona 1950 nairobi ilikuaje semeni kenyata kawajengea hapo.Lakini yote yamepita na tunaganga yanayo kuja
  13. Franco Jb

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    ambacho ni world class ni
  14. Franco Jb

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    1950 bado miaka 12 mpate uhuru
  15. Franco Jb

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Uswazi ndio mnacho jua basi ni oneshe sehemu ambako kuko loow dar kama kibera nairobi ama slum nyingine huko ipo kama nanzese.Hivi hizo slums kwen kwenu ni invisible ama
Back
Top Bottom