Recent content by francis bakari

  1. francis bakari

    JamiiForums Tanzania Wanawake wenye ndevu sio mchezo!

    Hiyo ni athari ya matumizi mengi ya madawa ya kuzuia mimba
  2. francis bakari

    JamiiForums Tanzania TANZIA Yona Fares Maro (MwanaJF na Muasisi wa Wanabidii) Afariki Dunia

    Ndio sababu UISLAMU ukaweka talaka ili yasifikiwe hayo
  3. francis bakari

    JamiiForums Tanzania Kumbe Kakobe ni CHADEMA muda tu, ndio maana anaishambulia serikali ya CCM

    Mbona mtu akisifia hatusemi anatoka chama cha Zamani? Tusomeni history,hili jambo kuwa DINI na SIASA havichangamani sijui tumerithishwa nani??! Tunakuwa wasahaulifu kuwa hata kipindi cha kupigania Uhuru DINI na Nyumba zinazoitwa za DINI zilitumika sana na maaskofu walipinga serikali za kikoloni...
  4. francis bakari

    JamiiForums Tanzania Askofu Zakaria Kakobe: Tanzania siyo nchi ya chama kimoja! Amtaka Rais Magufuli atubu

    Mkojo wake salama huyu mchunga JI !!??
  5. francis bakari

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee amestaafu ubunge?! Mbona kimya sana?

    Anajiandaa kurudi kundini kama wanavyorudi wengine
  6. francis bakari

    JamiiForums Tanzania Sikukuu ya Christmas na tarehe ya kuzaliwa Kristo

    Kuna uhusiano gani wa siku hiyo na kuziniana hovyo,kulewa sana kuiba, kwenda disko,je ndio mafundisho au tunaintagrete na mila zenu za kitamadun(African tradition religious)?
  7. francis bakari

    JamiiForums Tanzania Wamama itikieni mnapoamkiwa

    Jibu liko wazi wala si la kufichana Wa baba wakisema MAMBO na Wa mama wakikwambia kwani mimi mama yako kwa sehemu kubwa wanatengeneza mazingira ya kutongozwa au kukupata kimapenzi Hakuna jingine hapo ni mapenzi tu.
  8. francis bakari

    JamiiForums Tanzania Sijawaelewa wanaume wanaovaa nguo za kubana

    *ni dalili za ushoga*
  9. francis bakari

    JamiiForums Tanzania Samia Suluhu awatangazia ‘kiama’ waliosalimika kwenye uhakiki wa vyeti feki

    Uzalendo! uzalendo! Na uzalendo!
  10. francis bakari

    JamiiForums Tanzania Kijana aliyetuma picha za Nyufa za Hosteli za Magufuli UDSM akamatwa na Polisi, anyimwa dhamana

    Katoa taarifa kwa umma ila yeye ana mamlaka gani ya kutoa habari? Anatakiwa afuate utaratibu. Angekwenda kwa Rais wa chuo (DARUSO) akamwelezee na Rais angepeleka kunako husika na huko sasa ndio wangetoa taarifa kuhusu hali hiyo. Tujaribu kufuata taratibu ili kufikia malengo husika.
  11. francis bakari

    JamiiForums Tanzania David Kafulila ahojiwa Azam TV kuhusu kuhamia CCM

    Tumboo ooh tumbooo linatupata tabuuu jamanii ,tumbooo ohhh tumbooo tuwe nalooo makiniii.mwisho.
  12. francis bakari

    JamiiForums Tanzania Kafulila na Katambi wanawaambia watanzania, mkafie mbali

    Hii sihasa haswaaa!!!
  13. francis bakari

    JamiiForums Tanzania Kikwete na Mkapa tubuni ili tusonge mbele!!

    Anaenyoosha si na yeye alikuwa miongoni mwa waliopindisha? Vipi samaki wa wachina,yanayosemwa kuhusu uuzaji wa nyumba za gvt. Sina maana kuwa watangulizi hawajakosea! Hapana namaanisha kila binaadamu anamapungufu makubwa sana na yeye mwenyewe hawezi kuyaona hadi binaadamu mwinzie amwambie...
  14. francis bakari

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Msiwabomoleshe Mwanza, hata kama wamekosea ndio walionipa Urais

    Mcheza kwao hutunzwa.
  15. francis bakari

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yamjibu Lazaro Nyalandu, yamkaribisha na kusema chama cha siasa ni watu

    Asije akawa kama mwigamba,ccm - act- ccm
Back
Top Bottom