CHADEMA yamjibu Lazaro Nyalandu, yamkaribisha na kusema chama cha siasa ni watu

hivi kuna aliyekuwa anategemea kwamba maombi yake yatakataliwa? hawa ndo walengwa pale tunaposema big fish in the pond. welcome 2020 patakuwa patamu, huku tundu huku nyalandu kule jamaa wa yule wa lindi
Nissan nyeupe imebadilishwa Rangi Maliyamungu Bashite kaagiza gari zingine mpya kwa ajili ya kuzitumia kuwateketeza Wapinzani wote wanaonekana kutoa upinzani wa kweli.
 
Safi sana kwani hilo ndio jibu sahhihi kabisa. Chama ni watu na bila watu hatuna chama.
Je CDM itabaki salama na kuendelea kuwa CDM kama itapokea watu kwa msingi huu tu ya kuwa Chama ni watu. Wasipokuwa makini watapoteza u-CDM wao na watakuwa chama kingine tu kisichokuwa na ideology bali mkusanyiko wa watu usiojua unaelekea wapi. Ni vizuri wajitathmini.
 
Nissan nyeupe imebadilishwa Rangi Maliyamungu Bashite kaagiza gari zingine mpya kwa ajili ya kuzitumia kuwateketeza Wapinzani wote wanaonekana kutoa upinzani wa kweli.
kwa hiyo una-declare state of war?
 
Labda huyu atakuwa mgombea mwenza 2020....manake hawa CHADEMA ni watu wasioeleweka kabisa.
Asijipe matumaini sana dk slaa aliwapa chadema wafadhili kibao wa nje ya nchi has a ulaya Na marekani kufika kugombea uraisi wakamtosa wakamchukua Lowasa. Nyarandu awe makini Na hesabu zake za kisiasa chadema kuna matapeli Na walaghai hasa
 
Je CDM itabaki salama na kuendelea kuwa CDM kama itapokea watu kwa msingi huu tu ya kuwa Chama ni watu. Wasipokuwa makini watapoteza u-CDM wao na watakuwa chama kingine tu kisichokuwa na ideology bali mkusanyiko wa watu usiojua unaelekea wapi. Ni vizuri wajitathmini.

Mkuu;
Hiki chama hakitaupoteza muelekeo kwa kuwapokea watu wanaohamia. Kingelipoteza muelekeo kama kingeliwapokea watu wanaokuja kwa njia ya mficho huku wana kadi nyingine.

Hao wangelikuja kuleta chocochoko chamani. Huwezi kuongoza chama kwa kusema tumeshiba wanachama. Kuwakataa waja ni kama kusema tumeshiba wanachama.
Pili; Hakuna aliyeko chama pinzani chochote ambaye hakutokea ccm, mbona wasipoteze muelekeo?
 
Mkuu;
Hiki chama hakitaupoteza muelekeo kwa kuwapokea watu wanaohamia. Kingelipoteza muelekeo kama kingeliwapokea watu wanaokuja kwa njia ya mficho huku wana kadi nyingine. Hao wangelikuja kuleta chocochoko chamani. Huwezi kuongoza chama kwa kusema tumeshiba wanachama. Kuwakataa waja ni kama kusema tumeshiba wanachama.
Pili; Hakuna aliyeko chama pinzani chochote ambaye hakutokea ccm, mbona wasipoteze muelekeo?
Yangu ni tahadhari tu-tusije takafikia hali ambayo ni vigumu kujua tofauti kati ya CCM na CDM.
 
Back
Top Bottom