macjay
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 371
- 409
Nikiwa kidato cha pili kipindi cha utawala wa rais mwinyi (usiniulize mwaka) nilimtembelea classmate nikatoa shikamoo kwa dadake ambaye alikuwa kibonge fulani hivi. Mshikaji akanicheka sana akasema yaani huyo dadake ni digo sana na yupo darasa la sita........,...toka siku hiyo natoa shikamoo kwa wanawake rafiki na mama tu tena mpaka aanze '' hujambo mwanangu!"