Habari wandugu,
Wiki ijayo natarajia kusafiri kwenda Mwanza. Nitakuwa na kazi maeneo ya Halmashauri ya Ilemela, hivyo nataka nijibane angalau nipate lodge nzuri kwa gharama isiyozidi 30,000 kwa siku maeneo ya Busweru au jirani yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za asubuhi wandugu.naomba kupata taarifa juu ya gharama za VETA na entrance requirement maana nina kijana kamaliza form 4 nataka akapate maalifa zaidi huko chuoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Ningependa kujua kama nimefuata hatua zote zinazostahili ila wakati wa kuanza kujenga nikataka kubadilisha/kuongeza idadi ya madilisha. Je, itabidi nianze upya kuomba kibali dhidi ya mabadiliko au imekaaje wakuu?
sijui mizani zetu zitaboreshwa maana nyingi ni single lane weigh measure(magari ya pande zote mbili yanapima uelekeo mmoja)sasa kila dereva akifika apime gari kisha ashuke akapime pombe,kabla ya kufanya maamuzi bora ingefanyika research walau hata kubaini mazuri na mabaya juu ya hilo zoezi.
pia...
Waziri wa afya inabidi aanze na hili kwa kushirikiana na Mwigulu kuliko kwenda kutoa 25,000 kule Kigoma maana huu ni zaidi ya unyanyasaji.Tayari wameshamuwekea mama na mtoto historia mbaya kwenye maisha yao.Pia huduma za msingi wakati wa kujifungua amekosa.
Asante kwa ushauri ni bora nifanye hivyo tu mkuu.nafuta akaunti yake na mahusiano nayasitisha maana hadi sa izi sijamwambia bado madudu yake aliyofanya.
Habari za asubuhi ndugu wanajamvi wenzangu,
Nisiwachoshe sana niende moja kwa moja kwenye mada,
Mimi ni kijana mwenye miaka 38 hivyo niliona umri unanitupa mkono japo nitafute wa kuishi nae kwa maana ya niwe baba naye awe mama wa familia yangu.Kutokana na shughuli zangu za uchimbaji mdogo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.