Recent content by Fraeda

  1. Fraeda

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ana-tweet kwenye mambo serious, anafoka kwenye mambo rahisi

    kuna siku atasema na akisema cjui kama kuna mtu atavumilia bora ajitwita
  2. Fraeda

    JamiiForums Tanzania Mange anahatarisha ndoa za watu

    vita ni vita mura[emoji28][emoji28][emoji28] unakuja mjini na jembe unataka kurima rami i see [emoji38][emoji38][emoji38]
  3. Fraeda

    JamiiForums Tanzania Uvimbe/ Mapele Kisogoni

    i mean interesting topic
  4. Fraeda

    JamiiForums Tanzania Uvimbe/ Mapele Kisogoni

    interesting story
  5. Fraeda

    JamiiForums Tanzania Simulizi Ya Kweli:Nilimuoa Jini Nikamsaliti

    hii kila nikitaka kusoma nasoma usiku mchana nasahau
  6. Fraeda

    JamiiForums Tanzania Kafulila na Moses Machali wako live TBC

    [emoji122][emoji122][emoji114][emoji114] am not sure but may be
  7. Fraeda

    JamiiForums Tanzania Opinion: Dr. Shika Ana Hali Fulani, Anahitaji Msaada, Huruma, Upendo na Protection of His Right to Privacy!.

    vya kuongezea kipindi hicho chote cha maisha yake hakuwa na mawasiliano na watanzania wenzake eiza walikuwa wanaishi wote urusi au bongo ambao wanaweza kumuelezea yeye na kuverify hiyo situation yake?[emoji50][emoji50][emoji50][emoji50][emoji50]
  8. Fraeda

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda amwambia Lulu "Dady is coming"

    unatumia hadubini au darubini au kiona mbali upo vizuri
  9. Fraeda

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KENYA: Mahakama yatengua matokeo ya Uchaguzi wa Rais. Kurudiwa upya ndani ya siku Sitini(60)

    Kenya imeonyesha njia ambayo inaweza kutumika kama footstep kwa karibu labda tz kama wabongo wakikomaa mana uganda,rwanda na burundi hakuna dalili labda masia akirudi mara ya pili huko raisi ni kama kaka yake yesu au mtume! Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Fraeda

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KENYA: Mahakama yatengua matokeo ya Uchaguzi wa Rais. Kurudiwa upya ndani ya siku Sitini(60)

    Original ya afrika mashariki ni kenya, Tanzania na uganda,aliyekaribisha rwanda na burundi ndo inasababibisha tabia za ukurunzinza kushamili!uganda asingeweza kushamili peke yake kwa kipindi ambacho eac ilikuwa inaundwa tz na kenya Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Fraeda

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KENYA: Mahakama yatengua matokeo ya Uchaguzi wa Rais. Kurudiwa upya ndani ya siku Sitini(60)

    Mpaka hapo hata kama uchaguzi usiporudia wamejaribu kuonyesha demokrasia inawezekana afrika mashariki Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Fraeda

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

    hiko kichanga kimezaliwa muhimbili umekipa hadhi ya juu kimezaliwa nyumbani alafu baba amekikana!umenichekesha sana:):):):)
  13. Fraeda

    JamiiForums Tanzania Prof. Kabudi: Watanzania tuache uoga, hakuna atakayeshitakiwa na ACACIA

    Haya maneno mzalendo yana tafsiri pana muda mwingine hata mchumia tumbo naye ni mzalendo plse naomba kamusi tupate maana.ila umeni[emoji2] [emoji2]
  14. Fraeda

    JamiiForums Tanzania Kila ninapomtembelea, anaingia katika siku zake (menstruation)

    We jamaa inabidi uende feri
Back
Top Bottom