Recent content by FoS

  1. F

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa Taifa: Simba SC 4-0 Gendarmarie Nationale FC, Kombe la Shirikisho Barani Afrika

    Naona leo Mnyama anatutoa aibu hapo Taifa baada ya Ndala kutuabisha jana
  2. F

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa Taifa: Simba SC 4-0 Gendarmarie Nationale FC, Kombe la Shirikisho Barani Afrika

    Simba Taifa Kubwa!
  3. F

    JamiiForums Tanzania Okwi amefunga goli nyingi kuliko timu nzima ya Yanga SC

    Hah hah. Msimu huu mtani hana chake
  4. F

    JamiiForums Tanzania Wanaume mnaopenda Mpira

    Nashukuru kwa ushauri Mkuu.
  5. F

    JamiiForums Tanzania Wanaume mnaopenda Mpira

    Bado nipo nipo kwanza Mkuu.
  6. F

    JamiiForums Tanzania Wanaume mnaopenda Mpira

    Habari! Nachojua ni kwamba shabiki wa kweli wa mpira ni ngumu sana akaacha kuangalia timu anayoshabikia inapocheza live, ambacho sijui ni kama anaweza kumuacha mkewe ili akaangalie mpira.
  7. F

    JamiiForums Tanzania Huyu vipi, yaani tabia ambazo ilibidi azioneshe mwanzo wa mahusiano anazionesha saiz wakati tuna zaidi ya mwaka

    Mkuu, inawezekana hiyo Vits ndio ikawa chanzo cha yeye kubadilika kwa maana kwamba hafurahii kuipanda. Jaribu kumuuliza kuhusu hili pia.
  8. F

    JamiiForums Tanzania Maalum kwa wanaohitaji kusafiri: Aina ya usafiri, bei za nauli, tahadhari za kuchukua

    Wafanyakazi wa kwenye mabasi huwa wanakula bure kwenye hizo hotel ndiyo maana hawajali kabisa maslahi ya abiria katika swala la bei za vyakula.
  9. F

    JamiiForums Tanzania Vijana muanzapo kazi mkumbuke heshima ni kitu cha bure

    Hapo kwenye kama "muislam mwenzangu" ungeweka maneno mengine yasiyofungamana na dini yoyote bila shaka ingekuwa vyema zaidi kwa wote - Waislam na Wasio waislam
  10. F

    JamiiForums Tanzania Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

    Kwa perseverance hii, bila shaka utapata hivi karibuni. Ubarikiwe!
  11. F

    JamiiForums Tanzania Baba mkwe anataka kunioa

    Anataka akuoe au anataka muishi pamoja?
  12. F

    JamiiForums Tanzania Nimeachana na mke wangu leo

    Mkuu, binafsi namini hizo sababu haziachi mke
  13. F

    JamiiForums Tanzania Sipendi kuona mume wangu anakosa hela, huwa nampa hela, je inatokea kwa wanandoa wote?

    Ni muhimu ukatimiza ndoto zako pia, itakupa amani na furaha zaidi ya ilivyo sasa
  14. F

    JamiiForums Tanzania Nimetoa sharti la kupewa laki kila mwezi ....vinginevyo atambae

    Hahhah hah hii post yako imenichekesha sana, kwa hiyo utakuwa unampa na risiti? Na asipokupa mwezi huu basi mwezi unaofuata unamdai laki 2 sio
  15. F

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wanaopenda kuwa wake wa wazungu sikilizeni hili

    Ni ngumu watu kuamini alifariki kwa mipango ya Mungu, historia ya mahusiano ya wakwe na binti inaonesha kunaweza kuwa na jambo nyuma ya pazia. Apumzike kwa amani dada yetu.
Back
Top Bottom