Maalum kwa wanaohitaji kusafiri: Aina ya usafiri, bei za nauli, tahadhari za kuchukua

Hotel wanazotupitisha kulikoni mkuu,,kwa nini ubebe chakula???
Juzi tumepitishwa kuhotel cha ajabu pale singida...chakula hakikuwa kizuri na bei ilikuwa kubwa sana...ndizi mbili ndogo ndogo na vipande vya kuhesabika vya nyama elfu tano...hiyo ni kubwa mno. Halafu kuna vyoo sehemu zingine tunalipia...bora watuachie ule utaratibu wetu wa zamani wa kuchimba dawa vichakani

Sent from my TV
 
Te te te hilo la kuchaji simu ndo la msingi siku hizi!japo tunakoelekea tutaanza kubeba chakula maana si kwa hotel wanazotupitisha...

Sent from my TV
hapo ndio usiseme.
wakati naenda nilipika wali wangu na nyama nikakausha safi nikabeba juice...hotelini pale nakati ya singida nilifanya kushuka tu kwenda toilet ila nilibeba kwanzia chai.
sasa kazi ikawa kurudi nililala mwanza asubui nikanunua chai tupu.....
bwana wewe tulivofika sijui ndio tabora sijui wapi pale kuna bwawa kama bahari kwenda kuuliza chips tuchps tuwili ef6
wali sijui ef7
sikula mpaka saa7 usiku nmeshuka ubungo nikaenda home njaa inaniuma hamu sina...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha ha singida hiyo...wenye njaa kama mimi wanatukomesha kweli...siku nyingine ukiwa unaenda uniambie na mimi nisafiri nidoee mpunga wako

Sent from my TV
 
Te te te hilo la kuchaji simu ndo la msingi siku hizi!japo tunakoelekea tutaanza kubeba chakula maana si kwa hotel wanazotupitisha...

Sent from my TV

Mkuu huko sahihi kabisa,iyo njia ni kama imelaaniwa.kama umezoea kusafiri mikoa ya Kaskazini(Arusha,Tanga na Kilimanjaro),kuna Hotel za maana za kula.Lakini iyo njia ya mwanza ni balaa,sehemu za kula mbaya,vyakula vibaya kama nini.Bora mtu hujibebee chakula tu.
 
hapo ndio usiseme.
wakati naenda nilipika wali wangu na nyama nikakausha safi nikabeba juice...hotelini pale nakati ya singida nilifanya kushuka tu kwenda toilet ila nilibeba kwanzia chai.
sasa kazi ikawa kurudi nililala mwanza asubui nikanunua chai tupu.....
bwana wewe tulivofika sijui ndio tabora sijui wapi pale kuna bwawa kama bahari kwenda kuuliza chips tuchps tuwili ef6
wali sijui ef7
sikula mpaka saa7 usiku nmeshuka ubungo nikaenda home njaa inaniuma hamu sina...

Sent using Jamii Forums mobile app
Wafanyakazi wa kwenye mabasi huwa wanakula bure kwenye hizo hotel ndiyo maana hawajali kabisa maslahi ya abiria katika swala la bei za vyakula.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom