Recent content by FORWARD

  1. F

    Nimebaini mke wangu amezaa nje ya ndoa na amekiri, naombeni ushauri

    Inauma sana kujua mkeo kachepuka, ili hili lakuchepuka mpaka mbegu kuota halisahauliki... na bado watoto wenu ni wadogo sana.
  2. F

    Orodha ya watu wanaojiona wajanja nchi hii

    Trafiki wakiwa barabarani wanajiona ndo wamiliki wa barabara zote maana ukikatiza tu kwenye anga zao na gari lako ana amua tu kukusimamisha.
  3. F

    Katika Mikenge wananchi wa kawaida tuliwahi kuingizwa na kununua hisa za Voda

    Precision Air wamezidi toka wauze hisa 2011 mpaka sasa 2022 hakuna hata dalili za kuonja gawio.
  4. F

    Mungu yuko wapi?

    Jibu la swali lako utalipata siku ya hukumu ya mwisho.
  5. F

    Inawezekana vipi mtu aliyekuja Dar es Salaam mwaka 1992 kukosa kiwanja?

    Haimaanishi mwaka 1992 kwamba kulikuwa na pesa nje nje, maisha ni yale yale tu. Maeneo mengi yalianza kuchangamka miaka ya 97 na kuendelea baada ya kupanuka huduma ya usafiri ndani ya miji, kabla ya hapo maeneo mengi yalikuwa yanafikika kwa shida sana.
  6. F

    Asante JF kwa kutunza kumbukumbu. Hii ndiyo ilikuwa post yangu ya kwanza kabisa toka nijiunge na JF tarehe 31/5/2008!

    Miaka kweli haigandi, 2008 nipo kazini mtandao wangu pendwa wa kuperuz ulikuwa ni JF ingawa nilikuwa sijajisajili rasmi.
  7. F

    Matuta yote barabara kuu za mikoa yaondolewe; vivuko viwekwe vya chini ya barabara watu wakimbize magari wawezavyo bila vikwazo. Itapunguza rushwa pia

    Tatizo kubwa ni kwamba barabara kuu zote zinapita katikati ya miji ambapo watu wengi wanaishi. Na ishazoeleka kwa wafanyabiashara na wajasiriamali hunufaika zaidi pembezoni mwa barabara kubwa kutokana na mahitaji ya wasafiri wa masafa marefu kama vile vyakula na vyoo ambavyo havikwepeki kipindi...
  8. F

    Takataka za miwa Mbagala

    Habari za sikukuu! Biashara ya miwa imeshika kasi sana maeneo ya Mbagala hasa toka kizuiani mpaka Mbagala rangi tatu, ukipita njia ya Mbagala maeneo hayo utakuta vijana wengi sana wanajipatia ridhiki yao kwa kufanya biashara hiyo ambayo kiukweli inafanya vizuri kutokana na muonekano wa maeneo...
  9. F

    From nowhere nimetumiwa na mke wangu hii text

    Comments nyingi za wachangiaji zimeonyesha jinsi gani wanawake sio watu wa kuaminika kabisa...
  10. F

    Leo siku ya tatu simuongeleshi mpenzi wangu. Ungekua ni wewe ungechukua uamuzi gani?

    Ukioa huyo mpaka kwenye ndoa ataendelea kukupima hivyo hivyo. Watu wanachepuka kimya kimya ila huyo wazi wazi.
  11. F

    Naomba msaada wa ushauri kuhusu mahusiano yangu

    Kukaa na binti kama hivyo bila ya kuwa na uchumba rasmi ni hatari sana hasa itakopotokea kaumwa au kakata kamba(siombei) na hujulikani kwao.
  12. F

    RUNGU: TCRA imeitaka Wasafi TV kusitisha matangazo kwa Miezi Sita (6) kuanzia leo kwa kurusha Maudhui ya utupu

    Inawezekana alikavua na hako kanguo ka kisanii akamwaga radhi hazarani....
  13. F

    Ushauri - mtaji wa laki moja

    Asilimia 90 ya watu wanaopenda na kujua mpira ama michezo mengine mf tennis nk wanabet. Mda mwengine uhitaj mzoef kila ikicheza simba, yanga au azam ujue kuna ushind au draw tayar unapata hela.
  14. F

    Ushauri - mtaji wa laki moja

    Kama unazifaham timu za ushindi mf. Ac milan, rb salzburg, lask linz, bodo, molde na timu za kufungwa tu basi kila wk utapiga hela. Ukiweka tamaa utachana tu mikeka.
  15. F

    Ushauri - mtaji wa laki moja

    Chukua tsh 50,000 anza kubet mpira wa miguu kila jumamosi na jumapili tu jitahidi ufikishe 2 odds kwa kila jmos na jumapili, ambapo kama ukiweza kupatia jumapili 4 na jumamos 4 za mwezi utavuna faida ya sh lak 4. Odd ya 2 kwa jumamos na jpili hupatikana kirahis kuliko kwa siku za kati ya...
Back
Top Bottom