Leo siku ya tatu simuongeleshi mpenzi wangu. Ungekua ni wewe ungechukua uamuzi gani?

Kwakweli ni mbuzi kabisa na kufuatia huu ushauri wenu na mimi napigilia msumali wa mwisho ndio nimepiga chini rasmi tena sitarudi nyuma
Umechukua maamuzi ya kiume sasa kwa mamlaka niliyo nayo nakukaribisha kwenye chama cha wanaume
 
Kwa uzoefu kidogo nilioupata kwa muda niliotumia jamii forum, watu wa aina yako ya kuja kuomba ushauri juu ya kuachana na mpenzi wake, ni wachache sana wanasimamia misimamo hyo hadi mwisho, nakupa suala la muda tu kurudiana na huyo mpenzi wako na hivi umesema umeshamkanya sana ila hasikii.
Kumuacha mwanamke si suala la msimamo.
NOTE: K ina nguvu hatari sana kama ulishamuonja mwanamke.
Utamuacha moja kwa moja na kubaki kama wapenzi au itakuwa ni kupiga na kuondoka?
 
mkuu ingekua ngumu kumuacha kama tungekua pamoja lakini kwa sasa yeye yuko mkoa mwingine na mimi nimehamia mkoa mwingine ko itakua ngumu sana kurudiana nae yani haiwezekani tena niko mwanza kuna pisi kali nyingi sana mkuu
 
Pole ila siku nyingine jifunze kumtoa mwanamke kwenye malengo yako kimya kimya bila hata yeye kujijua. Yaani we endelea nae tu ila mipango mingine ya maisha yako inaendelea bila bugudha siku akijirudi akikolea ndio unamwambia tu kutokana na sababu hii na hii wewe siwezi nikakuoa basi full stop. Kuchuna au kukimbilia kuanzisha mahusiano mengine ni uboya.

Narudia tena mwanamke akikufanyia ubaya usimtangazie kaa kimya jifanye hujaona rafu ila hakikisha kwenye malengo yako ya maisha unamtoa ila akikuletea kipapuchi chake kipige asipo kileta fresh ....jifanye haujui....maana ukianza kujibishana nae atakupa majibu ya kukuumiza na kukufanya ujione mnyonge.

Kaaa kimya

Huu ujinga.
Ukimwacha mtu let them go mambo ya kishamba ya kuendelea nae sijui mpaka akolee ndo umwache hayana maana, its over, its over endelea na shughuli nyingine na mwambie aendelee na zake!
Tatizo la wanaume wa kitanzania ndo hilo! Hamna courage ya kusema kweli
 
Kwakweli ni mbuzi kabisa na kufuatia huu ushauri wenu na mimi napigilia msumali wa mwisho ndio nimepiga chini rasmi tena sitarudi nyuma
Piga chini huyo,kakudharau sana. Uongo gani huo wa kitoto hivyo,akikuuliza mbona kimya mwambie umemuweka kwenye mtihani pia akishinda atakua mke mwema
 
Punguza pupa mkuu,, muite ghetto umgonge vya kutosha tena kama ikiwezekana mpakie vumbi la Congo kabisa ili iwe show yako ya mwisho ya kihistoria itakayobaki kuwa mwiba akilini mwake na akukumbuke daima...then piga chini na ukate mawasiliano naye mazima!!!
 
mkuu ingekua ngumu kumuacha kama tungekua pamoja lakini kwa sasa yeye yuko mkoa mwingine na mimi nimehamia mkoa mwingine ko itakua ngumu sana kurudiana nae yani haiwezekani tena niko mwanza kuna pisi kali nyingi sana mkuu
mkuu ingekua ngumu kumuacha kama tungekua pamoja lakini kwa sasa yeye yuko mkoa mwingine na mimi nimehamia mkoa mwingine ko itakua ngumu sana kurudiana nae yani haiwezekani tena niko mwanza kuna pisi kali nyingi sana mkuu
Jitahidi kumuacha kweli atakuletea magonjwa na kukuharibia future yako.
 
Wakuu habari zenu, niende moja kwa moja kwenye topic

Mimi kwa sasa ninaishi mkoa tofauti na mpenzi wangu, sasa siku ya tarehe 26 huyu dada aliniambia anaenda Dar kufata mzigo wa viatu na pia anaenda kumtembelea rafiki yake aliyesoma nae ili aule na mwaka mpya hukohuko!

Sasa kizaa zaa kikaanza alipofika huko Dar kwanza siku anafika alifika na hakupatikana siku nzima kesho yake mida ya saa saba mchana akanipigia simu kwa namba ngeni nikamuuliza vipi kulikoni akasema eti usiku alioingia Dar aliibiwa simu kwahiyo hiyo aliyonayo ameiazima ili anijulishe na akaniambia hiyo namba amepewa laini na huyo mtu awe anatumia,

Alipokata simu nikaangalia hiyo namba kwenye Mpesa nikakuta imesajiliwa kwa jina lake, nikamuuliza kwa meseji mbona hiyo namba ina jina lako akaanza kunijibu eti alikua amesahau ameisajili

Sasa tukachati hapo kama dakika kumi tukaagana lakini akaniambia nisiwe namtafuta yeye ndio atakua ananitafuta maana hiyo simu ameazima kwahiyo atakua anamrudishia mwenye nayo! Tena alinizuia katukatu kutuma sms usiku maana hiyo simu inakua iko kwa mwenyewe.

Mimi nikamwambia kwanini usichukue hata elfu ishirini ukanunua simu ndogo ukawa unatumia kuliko kuomba omba watu simu, akagoma akasema yeye hataki kununua atanunuagaa tu hata sku nyingine,

Baada ya hayo maelezo mi nilikausha nikawa kweli nasubiri yeye ndo anitafute, akawa ananitafuta mchana tu usiku hanitafuti lakini nikimtumia sms usiku inadeliver ila yeye ndio hajibu, siku nyingine ilikua inapita siku nzima hajanitafuta.

Sasa juzi tarehe mbili akanipigia simu mida ya saa tisa alasiri akaniambia yuko safarini anarudi home kwao, nikamuuliza sasa simu umeitoa wapi umenunua njiani au? Akasema eti nilikua nakutania sikupotezaga simu nilikua nayo, nilikua nataka kukupima tu kama wewe ni mume mwema, nikamuuliza hivi inawezekanaje eti umpime mtu kwa kumwambia umepoteza simu asikutafute wewe ndo utamtafuta, unapima nini sasa? Akaniambia alikua anapima kama mimi ni mvumilivu, nikamwambia au ulikua kwa mwanaume akanijibu eti 'inawezekana'

Kwakweli mimi sikuhitaji kabisa kuendeleza majibizano nae nilikata simu na sikutaka tena mawasiliano naye, niliwaza kabisa huyu alikuwa kwa mwanaume ndio maana alikua hataki tuwasiliane usiku wala hakutaka mimi ndio niwe naanza kumtafuta.

Sasa nikachukua uamuzi wa kukaa kimya kukata mawasiliano nae tangu juzi ananitumia tu sms mimi sitaki kumjibu nimeshapata mawazo ya kumuacha kabisa,

Naombeni ushauri wakuu hata kama ungekua ni wewe ungefanyeje? Je, huu uamuzi niliochukua si ni sahihi maana hapa naona kabisa huyu dada alienda Dar kuliwa kabisa.
Labda niongezee ,alienda kuliwa vizuri
 
Mpaka hapo inaonesha huna ubavu wa kumuacha na kati yenu anayeteseka zaidi ni wewe hata kama wewe ndo umekaa kimya.
 
Ukioa huyo mpaka kwenye ndoa ataendelea kukupima hivyo hivyo. Watu wanachepuka kimya kimya ila huyo wazi wazi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom