Hivi unajua kilichowakuta wanajeshi wa kenya kule Somalia.Hoa m23 hawana tatizo na TPDF ndio mana wametoa warning kuwa wata retaliate kama hivyo vitendo vitaendelea tena kwa kishindo.Ngoja tusubiri majibu kutoka kwao ndo tutaweka hitimisho
Hao jamaa wametupa green light ili waki countermeasure tusianze kulia lia hapa.Noana wabongo wenzangu tunalisifia jeshi letu lakini tumesahau kilichowakuta wanajeshi wetu miaka 2 iliyopita.Hao M23 ni watabe kwenye gorilla warfare na misitu ya huko congo ni nyumbani kwako ngoja tusubiri...
Bado hiyo sio sababu ya kutoa.Hamas wanapopatikana wanajulikana vizuri tu lakini network yao yote inafahamika kumbuka Israel ameikalia palestina kwa muda mrefu so anajua mambo mengi pale
Tunasema wameshindwa kwa kuangalia objective zao kabla na baada ya kutangaza vita dhidi ya Hamas.Baadhi ya objective zilikuwa ni kuokoa mateka na kuwamaliza hamas pamoja na kuikalia Gaza.Hizo objective hapo juu hakuna hata moja iliyotumika hadi imefika hatua anafanya negotiations magaidi...
Hamas ana miliki home made weapons ambazo sio silaha nzito hata kidogo ana miundombinu dhaifu ya intelijensia kwenye kupata taarifa ikilinganishwa na Ukraine ambaye anapewa intelligence na NATO.Lakini bado Israel ameshindwa kumaliza hii vita ndo hapo kunapozua maswali mengi kuhusu uimara wake
Habari wana jukwaa hili la kimataifa.Ni moja ya platform nzuri sana hapa JF.
Hii thread ipo katika mfumo wa swali, swali ambalo litazua mjadala ndani yake kila mmoja anaweza kueleza vile anavyoweza ili kulijibu hilo swali.
Mods naomba huu uzi usiunganishwe na nyuzi zingine kwa maana hazifanani...
Kuna tofauti kubwa sana kati ya Elimu na kwenda shule.
Mtu anaweza kwenda shule na asiwe na Elimu vilevile mtu anaweza asiende shule na akawa na Elimu.
Nadhani wewe unaongelea kwenda shule na sio Elimu.
Education is the private matter btn the world of knowledge and experience and has little to...
Sasa kama hakuna anayejua wewe mwenzetu umejua Je kama alitangaza atamaliza vita ndani ya masaa 72.
Kila mmoja kwa wakati wake alipata kuiona ile hotuba ya Putin wkt anatangaza kuanza kwa SMO na aliweka malengo ya hii operation nini.Katika malengo hakuna sehemu alisema ana mpango wa kuitwaa kiev...
Ulijificha kwenye uchambuzi usio na upande lakini naona umeshindwa kudumu kwa muda mrefu umerudi kwenye rangi yako.Tulikujua tangu zamani...
Unaposema Russia kapeleka resources nyingi unatumia criteria gani mpaka kufikia hitimisho hilo,Kama upande wa personal Ukraine ndo amefanya rotation ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.