Search results

  1. Pure_sapiens

    Naona Syria inaenda kuwa uwanja wa vita kati ya Iran na Israel; sijui Assad amekubalije nchi yake kila mtu kujikatia kipande chake

    Unazungumzia hii Israel iliyopelekewa msaada wa silaha na marekani Kwa kikundi Cha wahuni Cha Hamas
  2. Pure_sapiens

    M23 wailaumu TPDF kutumia silaha nzito za kivita kulinda amani DRC

    Hivi unajua kilichowakuta wanajeshi wa kenya kule Somalia.Hoa m23 hawana tatizo na TPDF ndio mana wametoa warning kuwa wata retaliate kama hivyo vitendo vitaendelea tena kwa kishindo.Ngoja tusubiri majibu kutoka kwao ndo tutaweka hitimisho
  3. Pure_sapiens

    M23 wailaumu TPDF kutumia silaha nzito za kivita kulinda amani DRC

    Hao jamaa wametupa green light ili waki countermeasure tusianze kulia lia hapa.Noana wabongo wenzangu tunalisifia jeshi letu lakini tumesahau kilichowakuta wanajeshi wetu miaka 2 iliyopita.Hao M23 ni watabe kwenye gorilla warfare na misitu ya huko congo ni nyumbani kwako ngoja tusubiri...
  4. Pure_sapiens

    Israel kushindwa kuimaliza Gaza na kuikalia hadi siku ya leo, angeingia vitani na Ukraine angetoboa?

    Bado hiyo sio sababu ya kutoa.Hamas wanapopatikana wanajulikana vizuri tu lakini network yao yote inafahamika kumbuka Israel ameikalia palestina kwa muda mrefu so anajua mambo mengi pale
  5. Pure_sapiens

    Israel kushindwa kuimaliza Gaza na kuikalia hadi siku ya leo, angeingia vitani na Ukraine angetoboa?

    Tunasema wameshindwa kwa kuangalia objective zao kabla na baada ya kutangaza vita dhidi ya Hamas.Baadhi ya objective zilikuwa ni kuokoa mateka na kuwamaliza hamas pamoja na kuikalia Gaza.Hizo objective hapo juu hakuna hata moja iliyotumika hadi imefika hatua anafanya negotiations magaidi...
  6. Pure_sapiens

    Israel kushindwa kuimaliza Gaza na kuikalia hadi siku ya leo, angeingia vitani na Ukraine angetoboa?

    Hamas ana miliki home made weapons ambazo sio silaha nzito hata kidogo ana miundombinu dhaifu ya intelijensia kwenye kupata taarifa ikilinganishwa na Ukraine ambaye anapewa intelligence na NATO.Lakini bado Israel ameshindwa kumaliza hii vita ndo hapo kunapozua maswali mengi kuhusu uimara wake
  7. Pure_sapiens

    Israel kushindwa kuimaliza Gaza na kuikalia hadi siku ya leo, angeingia vitani na Ukraine angetoboa?

    Habari wana jukwaa hili la kimataifa.Ni moja ya platform nzuri sana hapa JF. Hii thread ipo katika mfumo wa swali, swali ambalo litazua mjadala ndani yake kila mmoja anaweza kueleza vile anavyoweza ili kulijibu hilo swali. Mods naomba huu uzi usiunganishwe na nyuzi zingine kwa maana hazifanani...
  8. Pure_sapiens

    Putin ashindwa kwenda BRICS Afrika Kusini, utata na presha ya ICC vyazungumzwa ziadi

    Uongo unapata faida gani? Ukraine amepata zaidi ya Dollar bilioni 97.8 kama msaada wa silaha hapo ukiacha human ID na mambo mengine.
  9. Pure_sapiens

    Ufaransa: Askari aliyeua achangiwa zaidi ya dola milioni 1

    Samahani unawazungumzia wazungu wawa pi?
  10. Pure_sapiens

    Oa mwanamke mwenye elimu

    Kuna tofauti kubwa sana kati ya Elimu na kwenda shule. Mtu anaweza kwenda shule na asiwe na Elimu vilevile mtu anaweza asiende shule na akawa na Elimu. Nadhani wewe unaongelea kwenda shule na sio Elimu. Education is the private matter btn the world of knowledge and experience and has little to...
  11. Pure_sapiens

    Belgorod: Wapiganaji wanaotaka kujitenga wateka vijiji 4 jimbo Belgorod nchini Urusi

    Naona waasi wamekuwa neutralized wamefyekwa wanajeshi 70 na light vehicle 4. Nasubiri updates kutoka kwa Ma Naz
  12. Pure_sapiens

    Urusi kuwa na mji wa Bakhmut na Soledar, hasara ni kubwa kuliko faida

    Sasa kama hakuna anayejua wewe mwenzetu umejua Je kama alitangaza atamaliza vita ndani ya masaa 72. Kila mmoja kwa wakati wake alipata kuiona ile hotuba ya Putin wkt anatangaza kuanza kwa SMO na aliweka malengo ya hii operation nini.Katika malengo hakuna sehemu alisema ana mpango wa kuitwaa kiev...
  13. Pure_sapiens

    Urusi kuwa na mji wa Bakhmut na Soledar, hasara ni kubwa kuliko faida

    Ulijificha kwenye uchambuzi usio na upande lakini naona umeshindwa kudumu kwa muda mrefu umerudi kwenye rangi yako.Tulikujua tangu zamani... Unaposema Russia kapeleka resources nyingi unatumia criteria gani mpaka kufikia hitimisho hilo,Kama upande wa personal Ukraine ndo amefanya rotation ya...
  14. Pure_sapiens

    Urusi kuwa na mji wa Bakhmut na Soledar, hasara ni kubwa kuliko faida

    Unaweza kutuwekea hapa kauli ya Rais Putin kuwa atamaliza SMO ndani ya masaa 72
  15. Pure_sapiens

    Chemsha bongo, chemsha bongo. Karibu uweke jibu lako

    Stress za nini tena mrembo..Soma chemsha bongo hiyo nasubiri majibu yako ili na mimi nipeleke sehemu
  16. Pure_sapiens

    Chemsha bongo, chemsha bongo. Karibu uweke jibu lako

    Habari watu wote wa hili jukwaa la elimu. Leo kuna mtoto wa kaka angu amekuja na hii chemsha bongo na kusema ukweli naona kuna kila dalili ya mimi kuchemsha. Iko hivi" Nguo dukani inauzwa Sh.10000/= Na wewe hauna pesa ila hiyo nguo unaitaka, ukaamuwa kwenda kukopa kwa kaka ako Sh.5000/= na...
Back
Top Bottom