Recent content by FORTYMFALME

  1. FORTYMFALME

    JamiiForums Tanzania Kwa walioko mikoa ya Dodoma na Singida, nahitaji alizeti gunia 500

    Kwa wale walioko mikoa ya dodoma na singida, ninahitaji alizeti gunia 500 za alizeti. yeyote anayeuza aje inbox nitampa mawasilino tufanye mazungumzo. sio lazima uwe umeshavuna hata kama bado hujavuna njoo pia inbox upate soko pindi utakapovuna. Vilevile nahitaji tani 20 za mahindi, kwa wale...
  2. FORTYMFALME

    JamiiForums Tanzania Gari la RC wa Shinyanga lagonga na kuua mmoja wilayani Kahama

    #Tanzia: Gari la RC wa Shinyanga limemgonga na kumuua mtu mmoja wilayani Kahama, ajali imetokea leo katika maeneo ya Nyahanga. Mkuu huyo wa mkoa alikuwa anaenda kumpokea Mheshimiwa Rais John Magufuli aliyekuwa akitokea Chato. Tazama video hapo chini... Fortune King Source: Facebook/FortuneKing
  3. FORTYMFALME

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa ajili ya kutengeneza Betting Club Tanzania

    Weka namba yako hapa young billionaires .. Tukutane tuweke mambo sawa
  4. FORTYMFALME

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa ajili ya kutengeneza Betting Club Tanzania

    Huu ni uzi maalumu kwa ajili ta wale wataalamu wa kuchambua mechi na kubeti.. Tunataka kutengeneza kundi kwa ajili ya kumuua mhindi...
  5. FORTYMFALME

    JamiiForums Tanzania Makapuku Forum

  6. FORTYMFALME

    JamiiForums Tanzania Hili la Rais Magufuli kukwepa mikutano na vikao vya kimataifa limekaaje? Hakuna tunachopoteza?

    Huu uzi ni kwa wale wanaofahamu kwa namna moja au nyingine kwann Rais Magufuli haendagi mikutano ya nje? Tatizo ni language au ni nn wakuu?
  7. FORTYMFALME

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    poa nakutafuta mkuu
  8. FORTYMFALME

    JamiiForums Tanzania Sipendi wanaume mwenye uwezo mkubwa ni moja ya sifa ya mwanaume anaemtaka Wema Sepetu

    Wanaume wamestuka.. Hawataki mtu mwenye sifa kama za wema ndio maana ameamua kujinadi.. Endelea mamaa
  9. FORTYMFALME

    JamiiForums Tanzania Uber Itaua Bajaj na Bodaboda

    Kama wanakuchaji 1000/= endelea nao tu, sisi wengine wanatuchaji gali sana.
  10. FORTYMFALME

    JamiiForums Tanzania Siri ya ya Makinikia na Bombardier

    Nianze kwa kuuliza Hivi ile kampuni mpya ambayo Serikali na Barrick wanagawana faida 50/50 ofisi zao ziko wapi? Na yale makinikia bado yako bandarini? Vipi zile bilioni 600 za good faith tumeshapewa? Ile ndege yetu imewasili? Nitawapeni majibu baadae.
  11. FORTYMFALME

    JamiiForums Tanzania Young social entrepreneurs network

    Tutawasiliana ili kujua unajihushisha na nn.
  12. FORTYMFALME

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    ahsante
Back
Top Bottom