Gari la RC wa Shinyanga lagonga na kuua mmoja wilayani Kahama



Gari la Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga limepata ajali wilayani Kahama baada ya kumgonga na kufariki palepale mkazi mmoja kutoka wilayani humo, ajali imetokea leo katika maeneo ya Nyahanga. Mkuu huyo wa mkoa alikuwa anaenda kumpokea Mheshimiwa Rais John Magufuli aliyekuwa akitokea Chato.

Chama cha Mumiani wanae endelea kukusanya damu
 
[HASHTAG]#Tanzia[/HASHTAG]: Gari la RC wa Shinyanga limemgonga na kumuua mtu mmoja wilayani Kahama, ajali imetokea leo katika maeneo ya Nyahanga. Mkuu huyo wa mkoa alikuwa anaenda kumpokea Mheshimiwa Rais John Magufuli aliyekuwa akitokea Chato.

Tazama video hapo chini... Fortune King

Source: Facebook/FortuneKing
 

Attachments

  • videoplayback.mp4
    13.5 MB · Views: 37
  • king.PNG
    king.PNG
    61.6 KB · Views: 33
Bahati mbaya mtu akigongwa akafa kesi yake inakuwa rahisi kuliko akigongwa na kujeruhiwa.
 
Back
Top Bottom