Usiropoke kwa Kuwa Hukwenda More than 100 Companies I applied many as I can hata hiyo Beny-Bill nimeshaisahau siyo rahisi kama hujui kaa kimyaa tuu mkuu.
Issue naona Ipo katika Logistical Challenge Huwezi Kuita watu wakati mkoa mingine bado so naona wanasubiri wenzao kambi ya JKT inajumuisha watu wa Mikoa yote kama siyo wa wilaya zote so naona wanasubiri wote wamalize! Usaili kwanza
Nawewe utaenda wapi na Formu yako wakati ulipigiwa simu hukupatikana kumbuka kulipoti siyo kama shule ya boarding unaenda peke yako! Unaenda na Gari ya jeshi ndo mnakabidhishwa hapo!
Wakuu nimeitwa kwenye Interview hata siikumbuki Ni kazi zile zilizokua Offered Kwenye exhibition Kwente Uwanja wa Chuo Kikuuu cha Dar es Salaam. Nimeitwa lakini Siijui hii Kampuni kwa walioenda mnakumbuka kulikua na meza nyingi so sikumbuki ipi ni ipi?
-Mwenye Kuijua aniambie wanajihusisha na...
Hili Bao baba yako angelimwaga nje tuu au mama yako angetoa hii mimba Kuliko kutuletea mzigo huu duniani.
Hivi Mfanyakazi wa ndani huwa anasafiri kuelekea wapi?
Analipa Umeme?
Analipa Bili ya Maji?
Analipa malipo ya Chumba/Nyumba?
Ananunua Chakula?
Usifananishe Kazi nyingine na Ma house...
Wakuu hivi Ukisikia Mkoa Fulani wameanza Ku ripoti na wewe Ukatumia Usafiri wako ile wameshushwa tuu kwenye basi na wewe unajichanganya nao Unasajiliwa Vipi Si Unaweza Ku win hii issue?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.