fortuneless
Member
- Jun 8, 2016
- 95
- 49
Wakuu nimeitwa kwenye Interview hata siikumbuki Ni kazi zile zilizokua Offered Kwenye exhibition Kwente Uwanja wa Chuo Kikuuu cha Dar es Salaam. Nimeitwa lakini Siijui hii Kampuni kwa walioenda mnakumbuka kulikua na meza nyingi so sikumbuki ipi ni ipi?
-Mwenye Kuijua aniambie wanajihusisha na nini?
-Wanalipaje?
-Ukubwa wa Kampuni
-Inamilikiwa na nani?
-Mwenye Kuijua aniambie wanajihusisha na nini?
-Wanalipaje?
-Ukubwa wa Kampuni
-Inamilikiwa na nani?