Natafuta nafasi ya ualimu wa masomo ya Hesabu na Uhasibu

Dec 10, 2011
9
1
Mimi ni mwalimu wa Hesabu na Uhasibu kwa O-level na A-level.Natafuta nafasi ya ualimu kwa masomo hayo kwa mkoa wa Morogoro na Dar es Salaam.

Napatikana kwa kupitia namba 0714411927/0755942150
 
Bachelor degree in accounting and finance from mzumbe university and postgraduate diploma in education (on progress through online)
 
MTU anaweza kufundisha hesabu cha muhimu awe anauwezo Wa somo husika (amefanya vizuri kulingana vyeti vyake katika somo husika), awe kweli anapenda kufundisha hesabu,awe Na uwezo wakumfundisha Mwanafunzi na kumuuelewa( teaching strategies and skills)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom