Recent content by Forgotten

  1. Forgotten

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Hata mimi niliyepo huku Tanganyika niliona Carrick hafai toka mwanzo, lakini watu wapo hapohapo Manchester United Football Club, Sir Matt Busby Way, Old Trafford, Manchester, M16 0RA, United Kingdom na wakampa kandarasi! 🙃
  2. Forgotten

    JamiiForums Tanzania Azam TV wanaonyesha mechi zote za Serie A kweli?

    Hivi ni kweli Azam TV wanaonyesha mechi zote za ligi wanazojinasibu kuonyesha? Jana nimeitafuta mechi kati ya Genoa na Fiorentina lakini cha ajabu japokuwa kwenye tangazo lao la mechi za Serie A jana ilikuwepo Azam Sports 3, muda wa mechi ikawekwa mechi ya ligi ya Kenya. Hii siyo mara ya...
  3. Forgotten

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yathibitisha kisa cha kwanza cha Mgonjwa wa Ebola – Mgonjwa Mkenya amefariki

    Sio kuwa ni mpango wa Marekani kuihimiza serikali ya Kenya kufungua kituo cha Ebola, maana mpaka hapo Wakenya hawawezi tena kupinga ufunguzi wa kituo hicho, sasa hivi itakuwa ni kwa maslahi yao pia. 🙃
  4. Forgotten

    JamiiForums Tanzania Katika umri wa miaka 50 haujatoboa na wala hauna kitu. Kuna uwezekano wa kuwini maisha?

    Until death, every defeat is psychological.
  5. Forgotten

    JamiiForums Tanzania Brighton & Hove Albion F.C. (The Seagulls) | Special Thread

    2026/27 👀
  6. Forgotten

    JamiiForums Tanzania Brighton & Hove Albion F.C. (The Seagulls) | Special Thread

    UP THE ALBION... LONELY AT THE TOP!!! 🔵⚪️
  7. Forgotten

    JamiiForums Tanzania Github sasa kila kukicha inakuja na changamoto mpya

    Hamia GitLab self-hosted... ukiwa na server yako codes zako zinakuwa salama pia, sasa hivi Microsoft wanatumia codes za kwenye GitHub repos ku-train AI model zao.
  8. Forgotten

    JamiiForums Tanzania Janga la Betting kwa Watanzania tujiandae na rehab center

    Siwezi kujua ila kuna tafiti na documentary, kama iliyofanywa na shirika la habari BBC. Zipo pia shuhuda za washindi kudhulumiwa malipo pale wanaposhinda.
  9. Forgotten

    JamiiForums Tanzania Janga la Betting kwa Watanzania tujiandae na rehab center

    Nilianza sports betting nikiwa na miaka 14... nilichojifunza: 1. Betting & Gambling ni biashara kubwa sana kwa wamiliki makampuni. The house always wins. 2. Ni mchezo wa bahati, marketing strategy kubwa ya makampuni ni kutumia washindi wachache waliopiga mamilioni kuvutia wateja wengi zaidi...
  10. Forgotten

    JamiiForums Tanzania Kwa Ujanja na umakini huu wa Kimafia alioufanya Mchezaji Ngolo Kante kwa Mkewe aliyekuwa na Tamaa za Mali zake naomba Wanaume wengine muuige upesi

    KATAA NDOA!!! Hakuna sababu zozote za msingi mwanaume kuoa... isipokuwa kwa wale wenye imani za kidini, na wanaofuata mila na desturi/tamaduni. Ndoa nyingi siku hizi watu wanaokotana tu barabarani... mtu mnakutana chuo mnabebana juujuu tayari mnataka muishi pamoja. 😅 Maisha ya ndoa ni ya...
  11. Forgotten

    JamiiForums Tanzania Ni utaratibu gani wa kufuata ili kuanzisha nchi?

    Haha! Wazo lako limenikumbusha filamu ya Rose Island (2020) ambayo imetokana na matukio ya kweli (based on true story). Engineer Giorgio Rosa alifanikiwa kujenga kisiwa chake, lakini serikali ya Italy ikaingilia kati japokuwa jamaa alicheza kete zake kwa ustadi mkubwa kwa kujenga kisiwa chake...
  12. Forgotten

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    We go again!!! #UEL
  13. Forgotten

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nimepishana na gari la mshahara!!! 🤬
  14. Forgotten

    JamiiForums Tanzania Bei sawa na bure... Laptop: HP EliteBook 740 G1

    HP EliteBook 740 G1 Intel Core i5-4210U 500 GB HDD 8 GB RAM / DDR3 64-bit OS Dual-Boot: Windows 11 & Linux Mint Battery: NO Price: TZS 250,000 Pia, ukihitaji inakuja pamoja na movies & tv series FHD@1080p zenye 400 GB+ pamoja na 30 GB+ za software.
  15. Forgotten

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    It's Carrick, you know! 🔴
Back
Top Bottom