Ukipata free internet..utatumiaje?

Ukipata free internet..utatumiaje?

siku hizi na stream movie, series zaidi, naangalia previous & current WWE.

nacheza online games iwe ps, PC au simu, naangalia football uefa au clip za wachezaji.

Live music shows, ngoma mpya au za zamani, production za muziki, f1, football, nba.

Business news, chess, tech, history documentaries, podcast.

dosho12, Selikavu, Razorblade, Edo kissy, adriz
 
Matumizi yangu kwenye Unlimited Internet ni:

Kufanya kazi zangu za freelance

Ku-download courses & tutorials

Entertainment: movies, sports... nina external storage zimejaa movies na tv shows ila muda wa kuziangalia sina. Weekend tu ndiyo natumia ku-stream mpira, naangalia mechi mbili tu basi.

Movies huwa nazi-download tu ili pesa ninayolipa isiwe inaenda bure. 😅
 
Mwanzoni hua kuna lile wenge la kupata free internet but with time hua linaosha unabqki kuiona kama kutu cha kawaida tu.
Nilipofunga wi-fi kwangu, kulikua na the same situation, watu hawafamyi kazi, kila mmoja kwenye simu n.k, but within a week, woooi, wanafanya kazi zao kama kawaida na hawana haraka nayo
Hii ni ukweli kabisa lazima uwe na wenge unakuta unaishangaa simu, simu nayo inakushangaa🤣
 
Matumizi yangu kwenye Unlimited Internet ni:

Kufanya kazi zangu za freelance

Ku-download courses & tutorials

Entertainment: movies, sports... nina external storage zimejaa movies na tv shows ila muda wa kuziangalia sina. Weekend tu ndiyo natumia ku-stream mpira, naangalia mechi mbili tu basi.

Movies huwa nazi-download tu ili pesa ninayolipa isiwe inaenda bure. 😅
Noma sana
 
siku hizi na stream movie, series zaidi, naangalia previous & current WWE.

nacheza online games iwe ps, PC au simu, naangalia football uefa au clip za wachezaji.

Live music shows, ngoma mpya au za zamani, production za muziki, f1, football, nba.

Business news, chess, tech, history documentaries, podcast.

dosho12, Selikavu, Razorblade, Edo kissy, adriz
Kumbe na wewe ni mdau wa WWE
 
Kwa kifupi, free internet kwangu ni elimu + biashara + ubunifu.
 
Back
Top Bottom