Recent content by forex

  1. forex

    Ushauri: Kapata supp, mwalimu anataka apewe rushwa ya ngono ili amfaulishe

    Kuna option mbili tu hapo! Kumpa au kutompa mzigo! Akimpa, faida zake : 1. Atafaulu 2. Atapata heshima kwa jamaa na marafiki 3. Atajenga urafiki na Ticha 4. Hatatumia muda mwingi kujisomea 5. Atapata muda mwingi wa mapumziko kujiandaa na semester inayofuata 6. Anaweza kufanya shughuli ndogo...
  2. forex

    Natafuta Serious Partner wa Kuanzisha Mradi Mkubwa Wa Nguruwe Tanzania

    Contact zako zipo wapi ndugu! Wazo zuri!
  3. forex

    Fahamu mbinu mbalimbali za kuongeza mauzo ya biashara yako

    Dr, namba moja ndio ina maana tu, namba mbili na tatu zinakuja automatic! Hivyo, endelea kututafutia njia zingine hizo mbili! Mpaka sasa umetaja njia moja tu!
  4. forex

    Tanzania yaomba EAC iingilie kati katika kuzuia mipango ya Kenya kujenga bwawa Mara

    Mimi sioni tatizo! Labda wangekuwa wanadivert maji kutoka kwenye main stream! Maana lile bwawa litajaa na maji yataendelea kuflow kama kawaida! Vile vile tunaweza kuchimba bwawa kubwa la kuifadhia maji kabla Kenya hawajajenga lao ili kipindi bwawa lao linajazwa tuwe na maji ya kutosha ili flow...
  5. forex

    Je, mzee Reginald Mengi alikuwa na mjukuu?

    Wajukuu sio wakwake peke yake! Hivyo sioni haja ya kuwataja!
  6. forex

    Zipi siku za kupata mimba kwa mwanamke mwenye mzunguko wa siku 25-28?

    16,17,18 & 19! Ikishindikana hapo kwa Kakobe kunakuhusu! Sent using Jamii Forums mobile app
  7. forex

    Tanzania yapewa siku 45 kujibu, 'Kwanini matokeo ya urais hayapingwi mahakamani'

    Kikikikiki! Ahahahahahaj! Sent using Jamii Forums mobile app
  8. forex

    Tanzania yapewa siku 45 kujibu, 'Kwanini matokeo ya urais hayapingwi mahakamani'

    Ni vema sheria hii ikaangaliwa upya maana kuna siku atatokea mtu mwenye pesa nyingi atakuwa Rais kwa pesa yake tu! Fikiria Mwenyekiti wa uchaguzi anamtangaza Mhe Dovutwa kuwa ndio mshindi! Na watu wote mnajua labda kuwa hakushinda! Mtafanyaje? Samahani Mhe Dovutwa, inawezekana ukatangazwa...
  9. forex

    Nifanye nini ili niweze kuingiza laki mbili kwa wiki nje ya mshahara?

    Hakikisha unafuga nguruwe na kuuza mmoja kwa week kwa laki mbili! So, kwa mwezi unauza nguruwe 4! Kwa mwaka uza nguruwe 48! Sent using Jamii Forums mobile app
  10. forex

    Tundu Lissu kukutana na Papa Francis, Vatican

    Huu sasa uongo umezidi! Evidence please! Sent using Jamii Forums mobile app
  11. forex

    Leo nimehisi sababu iliyomfanya baba yangu kumuacha mama yangu..

    Utakuwa mtoto wa kambo wewe yaani wa kufikia! Sent using Jamii Forums mobile app
  12. forex

    Kwanini Afrika ni Tajiri Waafrika(wengi) ni Masikini?

    Because of poor political institutions! Sent using Jamii Forums mobile app
  13. forex

    Ushauri: Nimefall kwa house boy wangu

    Msimamishe kazi houseboy! Kisha mpangishie chumba mbali na kwako! Mfano kama unakaa Tegeta mpangishie Mbagala rangi tatu! Mgharamie kila kitu! Kisha mzengue mme wako! Kumzengua ni kujikasirisha tu hata akicheka unasema umenichoka mimi ni wa kunicheka, kisha unasepa zako na kihouseboy chako...
  14. forex

    Askofu Dr.Benson Bagonza (PhD): Jeshi alikuwa nalo, Mahakama alikuwa nayo Magereza alikuwa nayo Mashabiki wa kutosha alikuwa nao wote walifadhaika

    Tofautisha Doctor of Philosophy (PhD) na undergraduate! Askofu ni mwanafalsafa!
  15. forex

    Baada ya EU, Serikali ya Marekani nayo yaugeukia utawala wa Rais Magufuli

    Wewe achana na Mkiru hiyo ilikuwa ni janga la kitaifa! Ilibidi iwe hivyo!
Back
Top Bottom