Mbona mimi nimewahi, kupigwa viboko 30 nikiwa form three na bila kosa la maana kabisa, wanao one ukatili ni wale Walio lelewa kama yai Ambao wanahitaji uangalizi wa wazazi mpaka wafikapo miaka 30 hivi.
Hyo ni Hali ya kawaida ila kwa wale born town, shule magari ya njano hawawezi jua na hao ndio...
Hizo spray gun kwakweli si mshauri mtu kununua ni bola akod mashine lakini sio hizo, Moja hazitoi rangi inavyo takiwa zina rangi inaweza toka nyingi Sana au kidog san kwa wakat mmoja, pili rangi inatoka kwa matone mengi, Kwa mfumo huo inatumia rangi nyingi sana, kama umezoea kutumia lita Moja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.