Soko la ufuta likoje kwenye mkoa uliko?

Soko la ufuta likoje kwenye mkoa uliko?

Lusonga songea gunia la kilo 90 bei 150000 😡 soo f*ckng sad
 
Ndio maana Heche anapinga huu ujinga wa stakabadhi gharani. Ni unyonyaji kwa mkulima na kuwanufaisha watu ata wasio jua ugumu wa kilimo.
 
Ndio maana Heche anapinga huu ujinga wa stakabadhi gharani. Ni unyonyaji kwa mkulima na kuwanufaisha watu ata wasio jua ugumu wa kilimo.
Huu ni unyonyaji mkubwa sana, zao lenyewe usumpufu mwingi
 
Amani iwe kwenu,

Ufuta ni zao moja zuri sana kibiashara, hapa nilipo nimevuna takribani gunia kama 20 ivi.

Uliko bei ya ufuta ikoje?, ili tuangalie soko sehemu nzuri.
Mwaka huu gumu
 
Back
Top Bottom