Recent content by Fonimu

  1. F

    JamiiForums Tanzania Nini kilimpata Rais Magufuli akiwa anahutubia Ruangwa?

    Na mimi nataka kujua, moshi ulitokea wapi?
  2. F

    JamiiForums Tanzania Rushwa yawafukuzisha kazi askari saba

    Naomba kufahamu; Kichwa cha habari kinasema "Rushwa yawafukuzisha kazi Askari saba", lakini ndani ya habari nimesoma kwamba, askari hao wamesimamishwa kazi na kufikishwa mahakamani. Sasa, polisi akisimamishwa kazi na kufikishwa mahakamani ndiyo tayari anakuwa amefukuzwa kazi? Naomba kufahamu...
  3. F

    JamiiForums Tanzania TUCTA na CWT Mkoani Mwanza yale Mabango ya Matambara kumpongeza Rais Magufuli na Uamuzi wake waliyaandaa lini / saa ngapi?

    Pamoja na yote ya kurudisha kikokotoo cha zamani. Binafsi naomba nisaidiwe kufahamu kuhusu hili; Mswada ulipelekwa bungeni na waziri mwenye dhamana, wabunge wakaujadili, mswada ukapitishwa, ukapelekwa kwa Rais. Sasa, je, Rais alikuwa tayari ameishausaini? Kama alikuwa tayari au bado, je...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Je, kuna kitu serikali inatuficha kuhusu usalama wa nchi au ni uchochezi tu wa “mabeberu”?

    Ukiona tahadhari ujue kuna kitu wanakiandaa. Wamagharibi siyo kabisa. Huwa najiuliza, hivi ilikuwaje China wakapenya katika hujuma zilizokithiri za Wamagharibi. Hao, jamaa ni hatari. Kwanza hautakiwi kuonesha hadharani hauwataki, lazima watakuhujumu tu. Mashariki ya kati wanaelewa vizuri...
  5. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania HAKUNA WATU WENYE UPENDO NA USHIRIKIANO KAMA WALEVI

    Hivi unanzaje kuchangia sigara, wakati unaona kabisa jamaa alikuwa anaivuta na mdomo wake una vidonda vidonda.
  6. F

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo hali ya Dkt. Shika hivi sasa

    Du! Unamfahamu Mwakibinga! Alikuwa classmate wangu pale UDOM kozi moja. Jamaa alikuwa ni mwanaharakati wa ukweli, mwenye msimamo imara. Sidhan kama jamaa alipoteza katika maisha maana alishinda kesi dhidi ya UDOM na alitakiwa alipwe fidia. Sijui kama alilipwa au la! Niliskia jamaa ni diwani...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Kila mtu kwa nafasi yake ni daraja kwa mwenzake. Walimu mnajidanganya kuwa nyie ndio DARAJA PEKEE.

    Naunga hoja ya kwamba tunategemeana. Lakini hapo mwisho umemaliza vibaya kwa sababu umeanza kujihami kwa kuuliza maswali na kujijibu. Nahisi labda ni dhana uliyonayo kwamba, ukiweka uzi humu lazima utapata coments hasi, kumbe siyo lazima.
  8. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inakuje msichana unakuwa mwizi? Mdada mrembo lakini kaniibia.

    "...hajui english.." unamanisha unataka anayejua English. Hapa Tanzania Kiswahili ndiyo lugha mama kwa Watanzania wengi, hivyo hiyo hoja haina mashiko.
  9. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimevunja uchumba rasmi, sitaki tena kuoa!

    Kosa ulilolifanya ni kuchukua simu yake na kuiweka mezani karibu yako. Kosa zaidi ni pale ulipoiacha simu on. Ulitakiwa baada ya kuichukua uizime na maongezi yaendelee.
  10. F

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa vigezo vinavyohitajika ili upatiwe visa ya kufanya kazi Marekani

    Naomba ukienda kuuliza ubalozini utanitag utakaporudisha mrejesho, nina hamu ya kufahamu hilo suala.
  11. F

    JamiiForums Tanzania Wimbo mkali kuliko zote katika Bongo Fleva...

    Kweny jina langu kuna mistari: "Nikikosa hela washkaji wanatoweka" "Nikirekebisha pumbafu wanasogea" Sasa hivi Prof Jay anatamba na ngoma yake "Yatapita" aliyomshirikisha Harmonize. Jamaa huwa anaumiza akili sana katika kuandika mambo yanayoakisi jamii. Yaani, kama ni mchezaji wa kandanda...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Share movies au series na mahudhuhi kwa kifupi.

    "Maudhui"
  13. F

    JamiiForums Tanzania Samata asign mkataba Mpya mpaka 2021

    Ndiyo nilishawahi kusikia.
  14. F

    JamiiForums Tanzania Samata asign mkataba Mpya mpaka 2021

    Kujaza mkataba na kutaka kuondoka siku hiyo hiyo yatakuwa ni masihara aisee.
  15. F

    JamiiForums Tanzania Nauza Mashuka ya mtumba toka Oman

    Mh! kazi ipo
Back
Top Bottom