Recent content by fokonola bokoyoka

  1. F

    JamiiForums Tanzania Ngorongoro bado hali ni ile ile kuwaondoa Masai hii issues ni serious kumbe

    Ngorongoro has to be conserved
  2. F

    JamiiForums Tanzania Ngorongoro hali mbaya: Maulid Kitenge ataka hatua za dharura zichukuliwe kuwanusuru Wamasai

    Kuna namna bora ya kuwafidia, ila no way Ngorongoro lazima ibaki.
  3. F

    JamiiForums Tanzania Ngorongoro hali mbaya: Maulid Kitenge ataka hatua za dharura zichukuliwe kuwanusuru Wamasai

    Tuache siasa uchwara, Ngorongoro lazima iwe salama. Lakini itumike njia sahihi kuwaondoa Maasai. Tuzingatie haki za binadamu, Serikali iweke bajeti kubwa ili wasipate athari. Ngorongoro must survive.
  4. F

    JamiiForums Tanzania Ngorongoro sio sehemu ya makazi ya binadamu bali ni hifadhi ya wanyamapori

    Ngorongoro ni Urithi, Maasai wametafutiwa maeneo mengine na huduma zote za kijamii zimewekwa. Ngorongoro lazima iwe salama. 1959 busara ilitumika lakini Hifadhi inaendelea kuwa hatarini. Maasai wameanza ku practice ujangili. Watoke ila wafidiwe pakubwa.
  5. F

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu Huria (Open University of Tanzania)

    Chuo bora Tanzania kwa sasa.
  6. F

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atengua uteuzi wa Albert Chalamila RC Mwanza, Dkt. Batilda ateuliwa kuwa RC Tabora

    Namwogopa sana mama, red card nje nje
  7. F

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Samia anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    Sasa kama kuna waziri kwanini ashughulikie kila kitu yeye. Mambo ya one man show yameshaisha. Mama is doing great so far
  8. F

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Afya, Dr. Mollel amjibu Fr. Kitima kuhusu Corona. Amkosoa na kumuelimisha maana ya UKWELI

    Sasa ataweza kusimamia kinga ya corona? Kwanini asijiuzulu?
  9. F

    JamiiForums Tanzania Ili kumuenzi komredi Magufuli pendekezo na 7 la kamati lipewe kipaumbele

    Tumuenzi kwanini! Nyerere na Karume tu, labda Mama ajitutumue tuone.
Back
Top Bottom