Recent content by FnL25

  1. F

    JamiiForums Tanzania Saa inatakiwa kuvaliwa mkono gani?

    Mwanaume ni kulia na mwanamke ni kushoto
  2. F

    JamiiForums Tanzania ITV kuna ubaguzi kwenye utoaji habari?

    Hata ujinda ni kejeli
  3. F

    JamiiForums Tanzania Leo nimeweka full tank

    We Jamaa..haaahaahaah
  4. F

    JamiiForums Tanzania Mashangingi yanaenda kufanya nini kwenye uwanja wa vita huko Amboni?

    We jamaa upo chuo cha sanaa bagamoyo au..duuh
  5. F

    JamiiForums Tanzania Zitto: Nashambuliwa, tunashambuliwa! PAC tunasema "Hatutetereki"

    Kama kahusishwa na hayo mambo wewe ungependa aongelee kuhusu nini.
  6. F

    JamiiForums Tanzania Zitto: Nashambuliwa, tunashambuliwa! PAC tunasema "Hatutetereki"

    Ulitamani hii issue awe ameianzisha mnyika or mbowe. Kweli watanzania elimu hata haitusaidii,watu tunalilia utaifa kwanza na kutoa support kwa mtu anaetutetea wanyonge..wewe ndo kwanza unaanza kuongelea habari ya chama. Taifa kwanza
  7. F

    JamiiForums Tanzania Tetemeko la ardhi limepita hapa Arusha

    Binadamu tofauti na viumbe vingine vyote kapewa uwezo wa kujitambua...kujuwa zuri na baya.
  8. F

    JamiiForums Tanzania Hongera BRN huyu nae atafaulu, ni moja ya CSEE 2014

    Kidhungu ni tatizo kwa walio wengi
Back
Top Bottom