ITV kuna ubaguzi kwenye utoaji habari?

ITV kuna ubaguzi kwenye utoaji habari?

Niliyemjibu anajua why nimemjibu hivyo, so kama vitu huvielewi ni bora ukae kimya. Mie siyo mjinga hicho nikashindwa kujua hii mada siyo ya kisiasa.
In contrast, consistency in the thread is logical fallacy, to wit
 
Awa ITV habari zao nyingi ni moshi na arusha...mara wahoji wamasai mara wanazindua saccos kishimundu. Huwezi kuona Mtwara au Njombe kibwegebwege.

Katika hili umewasingizia.
 
Ukisikiliza redio one kwa utulivu huwezi kutumia hata dakika kumi kabla ya kujua kuwa TV n redio one ni vituo vya habari vinavyopendelea mkoa gani au mikoa gani.
 
In contrast, consistency in the thread is logical fallacy, to wit

Mkuu, ujinga mwingine ni kama huu wako, kuacha kujibu kwa kiswahili ukidhani kwamba ukiweka kiingereza basi utaonekana una point zaidi. Huoni kama na wewe umepoteza ufanano/msimamo wa mada? Mie nimeandika kwa kiswahili wewe unaniletea kingereza ili kiwe nini?
 
Sikiliza radio one matangazo ya vifo utajua radio ya wapi hiyo,

Sasa wewe kama watu wa mkoa wako hawana mwamko wa kutangaza misiba redioni uliltaka ITV wafanye nini, wahonge au wawape upendeleo gani? Kumbuka matangazo yote hulipiwa sidhani kama ukileta tangazo lako la kifo litakataliwa wakati unalipia. Acha hoja za kijinga.
 
Mimi ni mkurya wa tarime,nyamwighura nasema hv huu ni uzi kijinga na kipumbavu kuliko yote mwaka huu wa 2015...sijui nitawezaje kumfunika huyu jamaa kwa kutoa uzi wa kijinga kuliko yy....ngoja nimtafute shyland anisaidie
 
Ukitaka kufa acha pesA za matangazo ya vfo,uwaambie ndugu zako hilo tangazo wapeleke radio wan then waje kupost matokeo hapa
 

Attachments

  • 1425769774351.jpg
    1425769774351.jpg
    10.4 KB · Views: 402
Mimi ni mkurya wa tarime,nyamwighura nasema hv huu ni uzi kijinga na kipumbavu kuliko yote mwaka huu wa 2015...sijui nitawezaje kumfunika huyu jamaa kwa kutoa uzi wa kijinga kuliko yy....ngoja nimtafute shyland anisaidie

Wewe yahoo ndiye mpumbavu wa mwaka kwa unavyokurupuka kutoa mitusi bila kujibu hoja ya msingi.
 
Tangu nizaliwe, sijaskia tangazo la kifo kutoka kwa mtu asiye na asili ya Moshi/Arusha/Manyara.

Jaribu kutumia akili ya kawaida tu bila kuumiza kichwa rafiki, kwani redio 1 wanakwenda mitaani kutafuta ni wapi kuna msiba ili watangaze au utaratibu ukoje? Pili umesha au mmesha peleka tangazo pale na lisitangazwe? Kama wwe huna utaratibu na jambo fulani basi wenzako wanao sioni tatizo hapo. Wengine wakifiwa wanaanza kulia kwa nguvu ili majirani wasikie waje kuwafariji, wengine wanapigiana simu ila wengine wanatangaza redioni sioni tatizo lolote. Hivyo acha ushabiki usio na tija. Andaa redio yako tangaza vile unapenda. Katika maisha huwezi ukamridhisha kila mtu na hata ukifanya jambo zuri kuna watakao furahi ila kuna wale watakao chukia na hivyo ndio binadamu tulivyo.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
sasa kama umehama kelele za nini,tulia huko uliko

:nod: Nashangaa na mimi kama amehama anahangaika ya nini?

Mama ntilia anapika mboga moja tuu si uhamie kwa mwingine unaomba ushauri? Remote yako unayo turn as u can!

Kama mimi siwezi kuangalia TBC1 hata kwa kulazimishwa naona kama nadhalilishwa, kuna StarTV, ITV, na Capital nyingi local na zenye kuburudisha! Na huwezi sikia nikilalamika wakati uamuzi ninao mie
 
Sasa wewe kama watu wa mkoa wako hawana mwamko wa kutangaza misiba redioni uliltaka ITV wafanye nini, wahonge au wawape upendeleo gani? Kumbuka matangazo yote hulipiwa sidhani kama ukileta tangazo lako la kifo litakataliwa wakati unalipia. Acha hoja za kijinga.

Sio mwamko tuu pengine na hata wanaotangaziwa hawawezi kulisikia sababu hawana hiyo redio, umeme na vitu kama hivyoso ndugu wanoana haina haja kupoteza pesa kwa kitu ambacho hakina hakitasikika!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom