Recent content by Fmruma

  1. Fmruma

    Mke wa Mchezaji Achraf Hakimi aambulia patupu baada ya kudai talaka akidhani atapata mali

    Hahahahahha hapo inabid labda kwenye familia uwepo ww na mama yako na muwe mnakaa mbali mfano ndugu wapo zaire nyinyi mpo canada huku and no one knows
  2. Fmruma

    Mke wa Mchezaji Achraf Hakimi aambulia patupu baada ya kudai talaka akidhani atapata mali

    Kuna jamaa mmoja ana YouTube chanel yake inaitwa HUKU YUESI jmaa anakaa states…anasema ndoa ni scum tu na wanaume wengi wamepata shida sana baada ya kuoa maana wake wanakua na kiburi maana wanajua ukizingua mshiko ni pasu kwa pasu na child support juu..50% ndoa US zinavunjia sababu ya sheria...
  3. Fmruma

    Mhasibu wa Benki atekwa, achomwa petroli porini

    Hapo labda ni issue ya mapenzi(usaliti) Au issue ya kazini(kajua dili za watu wakaamia kumnyamazisha) Au anamahusiano na wauza ngada wakanyooka nae
  4. Fmruma

    Tuache kudanganyana, Ajira zina afadhali zaidi kuliko kujiajiri, watu wengi waliojiajiri ndio wapo kwenye utumwa

    Kujiajiri ni bora zaidi kama utakua na biashara za maana…la sivyo utapambana na unakuja kupata hela ya maana umezeeka..!kuajiriwa inategemea na position ulionayo..mfano mtu kama mkuu wa majeshi hv au gavana BOT Ukiwaambia wafungue frem kariakoo hawakuelewi unajua.. Bottom line matajiri wakubwa...
  5. Fmruma

    TANZIA Mwanamuziki AKA wa Afrika Kusini auawa kwa kupigwa risasi jijini Durban

    Kadandia mtumbwi wa vibwengo…kaua demu wake wazee wa kazi wakasema ipo siku…what goes around……..
  6. Fmruma

    Hamisi Taletale na PhD ya USD 2,500

    Hao wanaojifanya kupayuka kuhusu PHD za kupewa(ambapo naona ni wivu wa kijinga tu)ndo wakwanza kwenda kwa sangoma na wanawaita hao ma sangoma ma fundi…waache uchawi hzo PHD za kununuliwa hazifanyi mtu aonekane wa maana wkt kichwani hana mawe..kuna wenye hzo Phd za darasani lakini wanaonekana...
  7. Fmruma

    Vladimir Putin amewataka wanajeshi wa Ukraine wajisalimishe wenyewe

    Russia mbabe sana….hahahahahah
  8. Fmruma

    Breakup is hard to do, kuachana kusikie kwa mwenzio

    Kuna demu moja la kitaa lilikua linasema kwa aliyoyapitia hakubali kuachwa akiona dalili za kutaka kuachwa anawahi kukumwaga ili isimuume..tukamwambia hujakutana na mwamba…kwakua alikua pisi akajaa kwa muhuni flan mshkaj ana mpunga halafu ana haiba..akakutana na mapenzi heavy kutoka kwa...
  9. Fmruma

    Naomba wanawake mnijibu: Hivi inawezekana mtu ukamtunuku tunda kwa kumuonea huruma?

    Daah shkamoo no 3 nilepewa mbususu ila kwa mbindeee…ila sijui whats wrong kwa dada zetu maana baada ya kula day one ndo nikaanza kutafutwa sasa niwe napeleka moto..dem anaweza kuwa na misimamo dhabiti ila kumegwa inategemea na mambo mengi sana mfano kujali,kudhamini,kusaidia nk sasa kama home...
  10. Fmruma

    Watu msibani na makabulini wanalia na mengi

    Kwel..kuna jamaa yangu mama yake alikua anaumwa akawa anatuma hela ila ikafika muda mam yake akamwambia uje..jamaa alipanda ndege fasta..alipofika akamuwekea mkono akasema wenzako hawajaja ila kwakua wewe umekuja nakufungulia milango… ndugu zako naifunga…mama akafariki..usiulize nn...
  11. Fmruma

    Mliobahatika kuacha unywaji wa pombe mlitumia formular gani?

    Kaa mbali na marafiki wanywaji..japo ni ngumu
  12. Fmruma

    Uzi wa vyakula tu

    Ni
  13. Fmruma

    Namna nilivyotajirika kwa kuiba majeneza makaburini!

    Story tu..hiz mishe alipiga jamaa wa nairobi sasa hv kaokoka..jamaa zake waliuwawa akabak yeye..naona une copy huko
  14. Fmruma

    Pafyumu za kupima-Utajiri nje nje!

    Kuna muarabu flan mwanza anapiga hela sana kwa hz issue
  15. Fmruma

    Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

    Jamaa naskia nayeye kajilipua kwa risasi…kakutwa kafa huko ziwani..kuna zachini chini kuwa kuna iman za kishirikina kwenye hlo tukio…TAMAA MBELE MAUTI NYUMA
Back
Top Bottom