Recent content by FMB

  1. F

    PPF Waanza kuita watu

    Vipi mkuu bado hujaitwa Operations trainee?
  2. F

    Chinese Government Scholarship kupitia MOE

    Habari za majukumu wakuu. Kama uliomba hio kitu hapo juu kaa mkao wa kuitwa. MIE nimeitwa leo via SMS. Mkuu mimi pia nilkua safarini kesho ndio natarajia kufika huko. Ila kwa uzoefu tu hua unatakiwa kua na documents zote muhimu kama certified copies za vyeti vyako, barua toka bodi...
  3. F

    Msaada: Tangazo la scholarship za China 2015/16 kutoka Wizara ya Elimu

    Asante mkuu. MIE nimeitea leo muda si mrefu hivo kama hujaitwa kua makini na simu yako. Nimetumiwa sms kwenda kufanya online application na maelekezo mengine.
  4. F

    Msaada: Tangazo la scholarship za China 2015/16 kutoka Wizara ya Elimu

    Mkuu ni miaka ya nyuma kidogo 2010. Nilipata na nikaenda na nisharudi. Nategemea kurudi tena kwa PhD kama watanichagua tena.
  5. F

    Msaada: Tangazo la scholarship za China 2015/16 kutoka Wizara ya Elimu

    Nitumie namba yako PM usijali ni easy tu
  6. F

    Msaada: Tangazo la scholarship za China 2015/16 kutoka Wizara ya Elimu

    Mimi pia nina uzoefu kidogo. Kuhusu kupitisha kwa mwahiri kama tangazo halikusema hivo basi haina ulazima sana ila ukiweza ni nzuri zaidi. Niliomba mwaka huo tangazo halikusema tupitishe kwa mwajiri na nilipata ila kuna mwaka mmoja nadhan mwaka jana niliona walisema upitishe kwa mwajiri...
  7. F

    Msaada: Tangazo la scholarship za China 2015/16 kutoka Wizara ya Elimu

    Tangazo kweli nimeambiwa limeshatoka lipo kwenye mbao za matangazo wizara ya elimu. Website yao ipo down hivo mwenye kuweza kufika pale wizarani tafadhali atusaidie alibandke hapa.
  8. F

    Msaada: Tangazo la scholarship za China 2015/16 kutoka Wizara ya Elimu

    Mimi pia nahitaji kuluona hilo tangazo kama limetoka maana numekua nikilifuatilia naambiwa bado. Mwenye taarifa atuweke hapa tafadhalini
  9. F

    Korea Kaskazini yatoa ushahidi kuwa Marekani ndiye mwanzilishi wa Ebola

    Hili mbona lipo wazi. Huhitaji kujiuliza mara kadhaa kuliamini. Kwan kuna shaka yoyote kuhusu AIDS kuwa nayo ni bio weapon ya US? . Dunia inajua ila uoga ndio shida.
  10. F

    Interview - Mbeya University of Science & Tech.

    Nadhani hiyo ni kwa administrative post. Kwa academician naona kimya ngoja tuvute subira.
  11. F

    Maswali ya interview walioitwa NSSF

    Kaka sidhani kama ipo hivo maana kuna wengi walosoma engineering wamepangwa asubuhi whom I know. Sidhani kama wanaweza fanya style hio kila watu wapewe eneo lao la specialization coz kuna watu wa cadre mbali mbali.
  12. F

    NSSF wameita for interview

    I am using both brother. Check your Inbox I have sent you my email.
  13. F

    NSSF wameita for interview

    Ngoja tusubili labda wajuzi watatumwagia hapa mkuu. Tuwasiliane PM mkuu.
  14. F

    NSSF wameita for interview

    Mimi pia nimetumiwa email, chekini wadau. Tupeane hints za huko jamani wengine ndio interview ya kwanza.
  15. F

    Nahitaji kupata passport ya kusafiria niitumie kuombea kusoma master's nje ya nchi

    Pole mkuu. Mimi pia nilipatwa na same issue as you na nilichofanya nili copy page ya application form inayoonyesha uhitaji wa passport ili niweze kufanya application yangu nika attach na documents nyingine. Then nikawapelekea uhamiaji, ilikua dsm so nilipata passport ndani ya week moja.
Back
Top Bottom